Nyaputo
Member
- Mar 23, 2023
- 67
- 158
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.
Nawasilisha🙏🙏🙏