Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.

Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?

Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.

Nawasilisha🙏🙏🙏
Kuna kitu kinaitwa "Principle of Double Effect" ambacho hutumika na wanateolojia kuelezea namna ya kufanya maamuzi katika mazingira kama hayo. Kitu kibaya kinapopelekea kutokea kitu kizuri zaidi.
 
Ngoja nikupige darasa kaa kwa kutulia :

Uovu hauna ukweli , yaani chochote kinachofanyika ili kukamilisha uovu ( mchakato wote) huwa ni muovu ,

Mfano mtu anataka kumuua let say jirani yako , na unajua hilo , anakuuliza huyu jirani yuko wapi we unamjibu yuko pale , jua tu kuwa umehusika kwenye chain ya huo uovu , na ulichofanya ni uovu ,.... Ulichotakiwa ni kufanya kuzuia huo uovu na ndo ukweli wenyewe

Kwenye Biblia kuna Mwanamke anaitwa Rahabu , aliwaficha wapelelezi , wauaji walipokuja wakamuuliza akawaambia wamepita wameenda hv kumbe anao ndani , yule mama aliingizwa kwenye ukoo wa kumzaa Yesu
"Uovu hauna ukweli , yaani chochote kinachofanyika ili kukamilisha uovu ( mchakato wote) huwa ni muovu"; ... one of the best answers ever; great thinker!
 
Kusema uongo ili kuokoa maisha ya mwanadamu asiye na hatia Ni vizuri Zaidi ya kusema ukweli/ kutenda mema Mara 100
 
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.

Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?

Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.

Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna uongo Mtakatifu!
Wala Mungu Hajafuta Amri YAKE ya Usiseme Uongo!
Cha Muhimu ni Toba
[emoji116][emoji116]
1 John 1:9
[9]Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.

Ila allah karuhusu uongo!
[emoji116][emoji116]
لَّا يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أَيْمَانِكُمْ وَلَـٰكِن يُؤَاخِذُكُم بِمَا كَسَبَتْ قُلُوبُكُمْ ۗ وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ

[ AL - BAQARA - 225 ]
Mwenyezi Mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. Bali anakushikeni kwa yanayo chuma nyoyo zenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mpole.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupige darasa kaa kwa kutulia :

Uovu hauna ukweli , yaani chochote kinachofanyika ili kukamilisha uovu ( mchakato wote) huwa ni muovu ,

Mfano mtu anataka kumuua let say jirani yako , na unajua hilo , anakuuliza huyu jirani yuko wapi we unamjibu yuko pale , jua tu kuwa umehusika kwenye chain ya huo uovu , na ulichofanya ni uovu ,.... Ulichotakiwa ni kufanya kuzuia huo uovu na ndo ukweli wenyewe

Kwenye Biblia kuna Mwanamke anaitwa Rahabu , aliwaficha wapelelezi , wauaji walipokuja wakamuuliza akawaambia wamepita wameenda hv kumbe anao ndani , yule mama aliingizwa kwenye ukoo wa kumzaa Yesu
Asante kwa darasa lako, limenifunza kitu.
 
Ujue Asubuhi Kabla hujaanza shughuli yeyote Muhimu sana Ujisalimishe Chini ya Ulinzi wa Mwenyezi Mungu Dhidi ya Maovu yoote Tarajiwa!
Nikupe Mf!; Dunia hii ya kitapeli kila anaye kuomba ukimpa kuna siku na ww utakuwa ombaomba!
Hivyo basi Ukijisalimisha Chini ya Ulinzi wa Mungu yeyote Atakaye Kuomba ni Muhitaji kweli!
 
Ni dhambi japo kwa waislamu wanasema si dhambi...maana hawa jamaa wanasema kula nguruwe ni dhambi ila kama una njaa na hakuna chakula kingine zaidi ya nguruwe ni halali kula, kwa hiyo nahisi hata hapa wanaweza kusema uongo wa kumnusuru mtu ni halali
Sumu haina mbadala ukiinywa utakufa
 
Uongo katika uislam umeruhusiwa katika mambo matatu tu
1.Katika kusuluhisha watu
2.mume kwa mke au mke kwa mume we mwambie mke wako ni mzuri dunia nzima hakuna kama yeye hata Kama ni mbaya hapo hupati dhambi
3.Katika vita (ikiwa kusema uongo utanusuru maisha yako au maisha ya watu wengine hapo unaruhusiwa kusema uongo )
 
Nimekupata mkuu
 
Mithali 4:13

Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
 
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.

Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?

Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.

Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120]
Ndio.
 
Zaburi 52
1 Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.

2 Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila

3 Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.

4 Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.

5 Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung'oa katika nchi ya walio hai.

6 Nao wenye haki wataona; Wataingiwa na hofu na kumcheka;

7 Kumbe! Huyu ndiye mtu yule, Asiyemfanya Mungu kuwa nguvu zake. Aliutumainia wingi wa mali zake, Na kujifanya hodari kwa madhara yake.

8 Bali mimi ni kama mzeituni Umeao katika nyumba ya Mungu. Nazitumainia fadhili za Mungu milele na milele.

9 Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.
 
Hakuna uongo Mtakatifu!
Wala Mungu Hajafuta Amri YAKE ya Usiseme Uongo!
Cha Muhimu ni Toba
[emoji116][emoji116]
1 John 1:9
[9]Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.

Ila allah karuhusu uongo!
[emoji116][emoji116]
لَّا يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أَيْمَانِكُمْ وَلَـٰكِن يُؤَاخِذُكُم بِمَا كَسَبَتْ قُلُوبُكُمْ ۗ وَاللَّهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ

[ AL - BAQARA - 225 ]
Mwenyezi Mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. Bali anakushikeni kwa yanayo chuma nyoyo zenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mpole.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kwa makusudi unafanya dhambi kwa kuwa utasamehewa! Pengine ndio maana kila mwaka CAG anakuwa busy, watu wanaiba, kwa minajili ya kuomba msamaha mbeleni, tutafika?
 
Dhambi tena kubwa tu! Unatakiwa kusema kweli daima hata ikibidi kufa! Fikiria jinsi wale watakatifu wafia dini waliotakiwa kukana imani zao ili wasiuawe, Wangeweza kudanganya tu ili wasiuawe then wakaendelea na imani zao baadae, Lakini waliusimamia ukweli wao mpaka wakafa.
 
Inategemea na ni uongo wa namna gani..Kwa mfano Rahabu (Yule kahaba) aliwaficha wale wapelelezi Darini na alipoulizwa aliwaonyesha askari njia ya uongo na kumbe amewaficha Darini....na kwa tendo hilo la kishujaa aliokolewa Yeye na Nyumba yake...na Yuko kwenye Orodha ya Mashujaa wa Imani....**** wakati mwingine unatakiwa kutumia Hekima.....
 
Back
Top Bottom