Sio zambiKuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.
Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja nikupige darasa kaa kwa kutulia :Ni dhambi maana unakuwa umevunja amri ya Mungu inayokataza kusema uongo.
Hekima ni nini?Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba vinavyomchukiza:
17Macho ya kiburi,ulimi wa uwongo, na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia.
Nawasilisha🙏🙏🙏
Kwaiyo haijalishi unadanganya kwa nia nzuri au mbaya still ni zambi?Sijawahi ona Viongozi wa serikali wanaongea ukweli..
Actually hata wazazi wetu wametulea Kwa kutujaza uongo mwingi sana..
Maisha bila kuongea uongo it is almost impossible..
Viongozi wa dini ndo mabingwa WA kuongea uongo
Nimekuelewa kiongozi 😂Ni dhambi japo kwa waislamu wanasema si dhambi...maana hawa jamaa wanasema kula nguruwe ni dhambi ila kama una njaa na hakuna chakula kingine zaidi ya nguruwe ni halali kula, kwa hiyo nahisi hata hapa wanaweza kusema uongo wa kumnusuru mtu ni halali
Yah Kwaiyo uwongo unaweza kutumika kwa nia nzuri au nia mbaya inategemea tu ulikuwa na nia gani wakati unadanganya si ndio mkuu?Ngoja nikupige darasa kaa kwa kutulia :
Uovu hauna ukweli , yaani chochote kinachofanyika ili kukamilisha uovu ( mchakato wote) huwa ni muovu ,
Mfano mtu anataka kumuua let say jirani yako , na unajua hilo , anakuuliza huyu jirani yuko wapi we unamjibu yuko pale , jua tu kuwa umehusika kwenye chain ya huo uovu , na ulichofanya ni uovu ,.... Ulichotakiwa ni kufanya kuzuia huo uovu na ndo ukweli wenyewe
Kwenye Biblia kuna Mwanamke anaitwa Rahabu , aliwaficha wapelelezi , wauaji walipokuja wakamuuliza akawaambia wamepita wameenda hv kumbe anao ndani , yule mama aliingizwa kwenye ukoo wa kumzaa Yesu