GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hata huyo naye ni mlipa kodiWewe mleta mada kodi yako ngapi unayoilipa kwa mwaka?
Usikute unaishi kwa shemeji au unangoja ugali wa mama nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo naye ni mlipa kodiWewe mleta mada kodi yako ngapi unayoilipa kwa mwaka?
Usikute unaishi kwa shemeji au unangoja ugali wa mama nyumbani.
Chawa zezetaRaisi ndio anailipa serikali,alisikika chawa mmoja akisema
Sahihi✅Mpaka vitoto vichanga tunavilipia kodi kupitia nepi baby powder baby oil na kila kitu kuanzia pipi biskuti na vyote tu tunavyovitumia kila siku,
Usiku na mchana tunachangia kodi, 🙏
Bunge lisipopitisha?Ni kupitisha