GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Aug 18, 2024 #101 FaizaFoxy said: Wewe mleta mada kodi yako ngapi unayoilipa kwa mwaka? Usikute unaishi kwa shemeji au unangoja ugali wa mama nyumbani. Click to expand... Hata huyo naye ni mlipa kodi
FaizaFoxy said: Wewe mleta mada kodi yako ngapi unayoilipa kwa mwaka? Usikute unaishi kwa shemeji au unangoja ugali wa mama nyumbani. Click to expand... Hata huyo naye ni mlipa kodi
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Aug 18, 2024 #102 mdudu said: Raisi ndio anailipa serikali,alisikika chawa mmoja akisema Click to expand... Chawa zezeta
mdudu said: Raisi ndio anailipa serikali,alisikika chawa mmoja akisema Click to expand... Chawa zezeta
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Aug 18, 2024 #103 ndolelejiUduhe said: Mpaka vitoto vichanga tunavilipia kodi kupitia nepi baby powder baby oil na kila kitu kuanzia pipi biskuti na vyote tu tunavyovitumia kila siku, Usiku na mchana tunachangia kodi, 🙏 Click to expand... Sahihi✅
ndolelejiUduhe said: Mpaka vitoto vichanga tunavilipia kodi kupitia nepi baby powder baby oil na kila kitu kuanzia pipi biskuti na vyote tu tunavyovitumia kila siku, Usiku na mchana tunachangia kodi, 🙏 Click to expand... Sahihi✅
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Aug 18, 2024 #104 ChoiceVariable said: Ni kupitisha Click to expand... Bunge lisipopitisha?
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Aug 18, 2024 #105 Ni ujinga wa uji uji uliochanganyika na kukosa kazi, unafiki na uchawa!