Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe ktk Hilo,Lisu hana tamaa ndiyo maana hana kashifa ya ufisadi naye kama binadamu atakuwa na madhaifu yake
Nadhani anaweza kufanya hivyoNakubaliana nawe ktk Hilo,
Hana Bei Lissu.
Tunataka tu akemee hadharani ununuzi wa mavi8
Tunaongelea way forward,Kwamba Leo Lissu ni Rais,
Je atafuta matumizi ya madc kwenye misafara, DCs na RCS?
Au atakuwa kama Hawa CCM?
HOJA imejikita hapo!
Ndugu Rabbon, jambo hili wala halihitaji mjadala wowote wa kihivyo...HOJA IPO kwake sababu pesa hizo ni michango ya wananchi wa kawaida.
Hili jambo linahitaji mjadala mpana.
Kuna namna viongozi hawaelewi wananchi wanataka nn iwe CCM au upinzani🤔
Nakuelewa vizuri ulichosema,Ndugu Rabbon, jambo hili wala halihitaji mjadala wowote wa kihivyo...
Uelewe ama usielewe, lakini kumbuka hili...
Tunahitaji zana imara na kamili (fedha, magari, vipaza sauti nk) za kuwawezesha viongozi wetu wanaongoza mapambano haya ya ukombozi wa pili wa nchi/taifa letu kufika kila mahali bila shida ama kuhangaika na kutoa elimu kwa wananchi...
LAKINI JUA HILI NA UKUMBUKE SIKU ZOTE KUWA;
1. CCM haitaondoka madarakani kwa kuelezea chochote kwa uzuri wa lugha yoyote against walichonacho wao...
2. Hata uwe na sera nzuri namna gani, uzielezee kwa lugha yoyote nzuri na iliyopambwa na rangi zote na wananchi wakakuelewa na kukubali, CCM haiwezi kuachia madaraka kwa vipande vya karatasi viitwavyo "kura" ktk sanduku la kura. Walishasema na kuapa kwa vinywa vyao wenyewe si mara moja au mbili...!!
3. Hawa wataondoka madarakani kwa kutumia nguvu ya lugha inayotumiwa na Tundu Lissu. Hawa si wa kuwabembeleza tena. Hawa ni wa kuwafurusha kwa kuwachapa viboko wanavyostahili kila kona ya nchi hata ambako hakufikiki....!
4. Hawa ili tuwashinde ni kuboresha kidogo mbinu zao wanazotumia wao kujilinda na kujihakikishia ushindi nyakati za kuchaguana. Kama wao huteka na kuua wawili kwa siku, wapinzani wateke na kuua CCM 10 kwa siku...!!
5. Hili brother Rabbon haliwezi kufanikiwa kama hakuna mkakati madhubuti wa kuingiza hamasa ya elimu ya "nationalism" hii kwa wananchi katika kila eneo na kona ya nchi...
6. Kila rasrimali inahitajika sasa hivi. Tunahitaji magari, ndege, helikopita, vyombo vya habari nk kama visaidizi vya mapambano haya...
7. Baada ya kuwa tumemtoa shetani (CCM) njiani ambaye ndiye kikwazo cha kila zuri la nchi hii unalolifikiria, hapo sasa tunaweza kukaa na kujadiliana namna bora ya kutumia rasrimali zetu kama taifa kwa kuweka sheria na katiba nzuri kusimamia viongozi wetu...
8. Kwa sasa agenda ni kwenye mambo manne tu: KUIFUTA CCM kisha KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI na MABADILIKO YA SHERIA ZOTE ZA UCHAGUZI...
##By the way hizo pesa zinazokutoa roho na kufikiri ni "ufujaji" kununulia gari la Tundu Lissu hivi ziko kiasi gani eti? Zinatosha kununua V8 mpya..?
##Inawezekana unapiga kelele tu kumbe hata hiyo V8 yenyewe haipo kwa fedha hiyo. Mimi nakumbuka update ya mwisho iliyotolewa kiasi kilikuwa hakijafika hata 150M...!!
Ikitokea akawa Rais kabla ya Kupata Katiba mpya, lazima itumike iliyopo na utashi binafsi wa chama na kiongozi ni muhimu tukiufahamu sasa...kwanini nguvu na madaraka yote hayo unataka uyaweke chini ya mtu mmoja?
..mabadiliko ya KATIBA ndio yatakayowezesha Samia, Lissu, Lipumba, Mbatia, au Raisi yeyote yule, afuate matakwa ya wananchi.
..Tunafanya makosa kuwapa viongozi wetu madaraka ya KIFALME halafu tunawategemea waongoze kama wanademokrasia.
..Katiba Bora ndio ngao yetu, sio mtu au chama.
Sasa Lissu akatae pesa za Abdul, iweje ashindwe kukataa V8?Hakuna mwanasiasa aliye hai hapa nchini anayeweza kukataa V8
Ikitokea akawa Rais kabla ya Kupata Katiba mpya, lazima itumike iliyopo na utashi binafsi wa chama na kiongozi ni muhimu tukiufahamu sasa.
Hii ni Kwa Nia njema🙏
Hapo ndipo uilete hoja yako hii...Ikitokea akawa Rais kabla ya Kupata Katiba mpya, lazima itumike iliyopo na utashi binafsi wa chama na kiongozi ni muhimu tukiufahamu sasa.
Hii ni Kwa Nia njema🙏
Ok kamanda💪..sasa huo utakuwa ni ujinga wetu wenyewe.
..Yaani tuweze kuiondosha Ccm madarakani, halafu tumbembeleze kiongozi mpya atuzawadie katiba mpya?
..Lissu amesema mara nyingi kwamba hataki kuwa Raisi mwenye madaraka ya Kifalme kama hawa tulio nao.
..Sasa Watanzania na sisi tutimize wajibu wetu kwa kupigania, na kuipata Katiba Mpya, vilevile kuchagua kiongozi anayeiunga mkono.
Mkuu ukiwa Rais, nchi inakupa usafiri wa hali ya juu. Wala huhitaji kuwa taka wananchi wakununulie.Swali Kwa swali!
Kwa uono wako,
Lissu akichaguliwa Kuwa Rais Leo,vatafuta manunuzi ya V8 nchini ikiwa ameridhia wananchi wamnunulie V8 mpya Kwa kuchangishana?
Nijibu Kwa HOJA.
Nchi ikikupa usafiri, ni wananchi wamekupa usafiri!Mkuu ukiwa Rais, nchi inakupa usafiri wa hali ya juu. Wala huhitaji kuwa taka wananchi wakununulie.
Sijaona swali gumu popote, labda unalifanya wewe mwenyewe lionekane kuwa gumu kwako.NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Kwamba ikitokea Lissu amekuwa Rais Kwa Katiba iliyopo, kutaka kujua ikiwa Serikali yake itaendeleza matumizi ya mashangingi au itasitisha,Sijaona swali gumu popote, labda unalifanya wewe mwenyewe lionekane kuwa gumu kwako.
Na wala hoja haionekani. Sijui hasa lengo lako ni nini hasa!
Suijaona hoja hata moja; kuyafanya maswala makuu ya nchi hii kuelezwa kwa mfano 'abstract' kama huu unao uweka mbele kuwa kielelezo.Kwamba ikitokea Lissu amekuwa Rais Kwa Katiba iliyopo, kutaka kujua ikiwa Serikali yake itaendeleza matumizi ya mashangingi au itasitisha,
Wewe hujaona HOJA hapo?
Hii ndiyo hoja sahihi. Mleta mada Rabbon keshaathiriwa na falsafa inayotawala nchi hii kwa kutegemea decrees za Rais. Yaani Rais ndio anayeamua kila kinachofanyika nchini: anachotaka ndicho kinachokuwa; asichotaka hakiwi! Hii ni banana republic!..kwanini nguvu na madaraka yote hayo unataka uyaweke chini ya mtu mmoja?
..mabadiliko ya KATIBA ndio yatakayowezesha Samia, Lissu, Lipumba, Mbatia, au Raisi yeyote yule, afuate matakwa ya wananchi.
..Tunafanya makosa kuwapa viongozi wetu madaraka ya KIFALME halafu tunawategemea waongoze kama wanademokrasia.
..Katiba Bora ndio ngao yetu, sio mtu au chama.
Hata kummuliza Lissu ikiwa atakuwa Rais ataanza na mchakato wa Katiba mpya pia ni udhaifu,Hii ndiyo hoja sahihi. Mleta mada Rabbon keshaathiriwa na falsafa inayotawala nchi hii kwa kutegemea decrees za Rais. Yaani Rais ndio anayeamua kila kinachofanyika nchini: anachotaka ndicho kinachokuwa; asichotaka hakiwi! Hii ni banana republic!
Natarajia uongozi wa CHADEMA (Lissu) agenda namba moja iwe katiba mpya kujenga utawala bora, utawala wa sheria, unaoendeshwa kwa kanuni na taasisi imara zinazozingatia ufanisi katika shughuli na matumizi ya rasilimali za umma.
Kufikia hapo hizi hoja mfu za Rais kuamua cha kufanya hazitakuwa na nafasi katika mijadala ya kitaifa. Bunge na mahakama vitatosha kudhibiti maamuzi mabovu ya Rais na serikali kwa ujumla.
Hapa JF mjadala sahihi uwe ni: je, CHADEMA (Lissu) akiongoza serikali atahakikisha katiba mpya inapatikana na kuanza kutumika mapema kabisa? Sio haya mambo duni ya Rais “kukemea ma-V8”.