AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hitler alikua mbele ya muda alichokosea ni Chuki zake kwa Jews, Final Solution To Jews Question ndio inayokufanya uione hivyoEhee
Hitler alikua mbele ya muda alichokosea ni Chuki zake kwa Jews, Final Solution To Jews Question ndio inayokufanya uione hivyoEhee
Bila USA kuingilia kati Ujerumani ingeteka karibia nusu ya dunia. Hitler alijenga viwanda vingi ambavyo vilikuwa msingi mkubwa wa uchumi wa Ujerumani. Siku nchi za Ulaya na Japan zikiacha kutegemea silaha za US na kutengeneza zao, kutakuwa na major shift of power.Kaangalie sanctions iliyokewa ujerumani baada ya vita ya pili dunia. Ndio iliyopelekea ujerumani kuwa hapo bila vikwazo ujerumani ingekuwa super power tena
Sahihi kabisaHadi leo Ujerumani ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi ualaya nzima ,ukiongea kuhusiana na uchumi wa ulaya basi unaongelea Ujerumani namba 1 .
USSR
Marekani kazifanya hizo nchi zote kuwa colony zake, wenyewe wanalalamika sana Japan Ujerumani na sasa wanataka kuichukua Russia wamalize mchezo.Bila USA kuingilia kati Ujerumani ingeteka karibia nusu ya dunia. Hitler alijenga viwanda vingi ambavyo vilikuwa msingi mkubwa wa uchumi wa Ujerumani. Siku nchi za Ulaya na Japan zikiacha kutegemea silaha za US na kutengeneza zao, kutakuwa na major shift of power.
Mkuu mbona unaleta list ya wayahudi !?Albert Einstein – Nadharia ya Relativity
Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory
Werner Heisenberg – Uncertainty Principle
Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays
Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia
🧪 Kemia
Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry
Fritz Haber – Haber Process (mbolea & kemia ya viwandani)
Robert Bunsen – Bunsen burner
Otto Hahn – Ugunduzi wa nuclear fission
🧬 Baiolojia & Tiba
Robert Koch – Aligundua bakteria wa kifua kikuu (TB)
Paul Ehrlich – Kinga ya mwili (immunology)
Rudolf Virchow – Baba wa pathology ya kisasa
Johannes Müller – Fiziolojia ya binadamu
Robert oppengeigher atomic bomb asili ni mjerumani wazazi wake walikuja kuhamia usa
Klaus fuchs mtaalamu mgunduzi wa nuclear physics aliyeisadia marekani na urusi katika utengenezaji wa kombola atomic
John von Neumann – Asili ya Kijerumani, msingi wa computer science
Wernher von Braun – Roketi & safari za anga (NASA) 🚀
Konrad Zuse – Alishirikiana na maendeleo ya teknolojia ya kompyuta Marekani
Igor kuchatov kiasili ni mjerumani aliyeisadia urusi kutengeneza kombola la nucleur
Max Born – Mjerumani aliyekuja Uingereza, quantum mechanics, Nobel Prize
Hermann Bondi – Cosmology, mzaliwa wa familia ya Kijerumani
Nicholas Kurti – Fizikia ya joto la chini (low temperature physics)
🧬 Baiolojia & Tiba
Ernst Chain – Mjerumani aliyekuja Uingereza, alichangia ugunduzi wa penicillin 💊
Hans Krebs – Krebs cycle (biochemistry), Nobel Prize
Ludwig Guttmann – Neurology & tiba ya majeruhi wa uti wa mgongo (chanzo cha Paralympics)
Demetriv medved kiasili ni mjerumani father of periodic table wazazi wake walihamia urusi
Huyo jamaa zwazwa masuala ya ujuzi mataifa Huwa yanaibiana hakuna aliyebuni ujuzi wake peke yake dunianiU.S,Russia nao waliiba tech Ujerumani nao tuwatoe kwenye list.
Ndivyo ilivyo, kila Mbabe anapoinuka huacha effects zake hata USA akianguka baadae watu watauliza kwanini USA alikuwa bingwa wa technolojia lkn akaanguka hakuendeleza usuper power?
Usuper power huja na mengi, ikiwepo ushawishi, vitisho, uwezo wa maamuzi ktk jambo lolote bila kuingiliwa, pia uwezo wa gunduzi na tafiti kubwa ambazo kwa wengine ni ngumu kujulikan, hapa huwa ni mbwembwe na pamejawa uzushi mtupu.
Huyo mjerumani aliiba na kucopy technolojia na falsafa nyingi za kisayansi ikiwepo kutoka ktk makoloni yake apa Afrika, na baada ya anguko lake, super power waliomfuata Russia na USA waliiba technology na falsafa zake kuzigeuza zao, hivyo hivyo hata hawa nao wanaibiwa na Mchina ambaye anaenda kuwa super power miaka hii kwasasa.
Mambo waliyotuaminisha zama za kiza kuwa taifa fulani linaongoza kwa watu wenye akili na IQ kubwa huu ni upotoshaji na upuuzi uliopitwa na wakati, kila taifa kubwa lilipo gain power lilijimilikisha mambo ambayo hayamuhusu.
Back to history kutoka Afrika, misri na wakaja wajanja wagiriki, warumi, wahindi, wachina, waajemi na waarabu, then BOOM ulaya mpya ikaendeleza propaganda zile zile za watangulizi wake.
Ulaya hakuna hata mmoja aliyegundua hizo tech zaidi ya kuiba na kujipa hati miliki, someni historia, gravity theories, wave theories, astronomy science, electric science, Illuminati philosophy, hivi vyote mbona vilishakuwepo na vilitumika lakini hao majamaa akina Galileo, Newton, Nicolaus Copernicus, Albert Einstein, Aristotle, hawa wote fuatilia theories& inventions zao hutoona jipya lolote zaid zaidi kujimilikisha gunduzi za wengine baada ya kusoma nakala zao au baada ya wao kufahamu jambo ambalo lilishakuwepo.
Ni vile hawa jamaa wanacontrol kila secta lkn ilkuwa wapewe kesi za wizi wa technolojia hata kama waliyoyaiba hayakuwekewa hatimiliki ya fulani.
Next time nitaelezea mmoja baada ya mwingine jinsi gani theory/invention yake alivyoipata au utafiti wake kuuita mpya kumbe ulishakuwepo.
Tunawalaumu wachina wazee wa kucopy na kupaste lkn hawamfikii mzungu kwa huu uhuni, huyu anakopi kila kitu alafu harudishi hata asante kwa aliowacopy, zaidi anawafanyia husda kuwafutia historia zao za ushahidi.
Sayansi haijawai gunduliwa ulaya, wanachokifanya ni muendelezo wa yaliyokuwepo kwa majina mapya+ reverse engineering then wanajibambikizia wao umiliki.
Shame on European&their fellow Americans, shame on Zionists, shame on Chinese and all Asians
Almost wote hapo ni Jews.Na Germany vita ya pili iliwacost mno .Otherwise wangekuwa Superpower numéro uno.Ila all in all ni Super Power Ulaya.Albert Einstein – Nadharia ya Relativity
Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory
Werner Heisenberg – Uncertainty Principle
Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays
Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia
🧪 Kemia
Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry
Fritz Haber – Haber Process (mbolea & kemia ya viwandani)
Robert Bunsen – Bunsen burner
Otto Hahn – Ugunduzi wa nuclear fission
🧬 Baiolojia & Tiba
Robert Koch – Aligundua bakteria wa kifua kikuu (TB)
Paul Ehrlich – Kinga ya mwili (immunology)
Rudolf Virchow – Baba wa pathology ya kisasa
Johannes Müller – Fiziolojia ya binadamu
Robert oppengeigher atomic bomb asili ni mjerumani wazazi wake walikuja kuhamia usa
Klaus fuchs mtaalamu mgunduzi wa nuclear physics aliyeisadia marekani na urusi katika utengenezaji wa kombola atomic
John von Neumann – Asili ya Kijerumani, msingi wa computer science
Wernher von Braun – Roketi & safari za anga (NASA) 🚀
Konrad Zuse – Alishirikiana na maendeleo ya teknolojia ya kompyuta Marekani
Igor kuchatov kiasili ni mjerumani aliyeisadia urusi kutengeneza kombola la nucleur
Max Born – Mjerumani aliyekuja Uingereza, quantum mechanics, Nobel Prize
Hermann Bondi – Cosmology, mzaliwa wa familia ya Kijerumani
Nicholas Kurti – Fizikia ya joto la chini (low temperature physics)
🧬 Baiolojia & Tiba
Ernst Chain – Mjerumani aliyekuja Uingereza, alichangia ugunduzi wa penicillin 💊
Hans Krebs – Krebs cycle (biochemistry), Nobel Prize
Ludwig Guttmann – Neurology & tiba ya majeruhi wa uti wa mgongo (chanzo cha Paralympics)
Demetriv medved kiasili ni mjerumani father of periodic table wazazi wake walihamia urusi
Hata Sasa Ujerumani ni European superpowerAlmost wote hapo ni Jews.Na Germany vita ya pili iliwacost mno .Otherwise wangekuwa Superpower numéro uno.Ila all in all ni Super Power Ulaya.
Nani kabisha ?Hata Sasa Ujerumani ni European superpower
Mtoa madaNani kabisha ?