Ikiwa Ujerumani ndo nchi ya watu wenye akili duniani na wana nguli imeshidwaje kuwa among super power dunia

Kaangalie sanctions iliyokewa ujerumani baada ya vita ya pili dunia. Ndio iliyopelekea ujerumani kuwa hapo bila vikwazo ujerumani ingekuwa super power tena
Bila USA kuingilia kati Ujerumani ingeteka karibia nusu ya dunia. Hitler alijenga viwanda vingi ambavyo vilikuwa msingi mkubwa wa uchumi wa Ujerumani. Siku nchi za Ulaya na Japan zikiacha kutegemea silaha za US na kutengeneza zao, kutakuwa na major shift of power.
 
Hadi leo Ujerumani ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi ualaya nzima ,ukiongea kuhusiana na uchumi wa ulaya basi unaongelea Ujerumani namba 1 .

USSR
Sahihi kabisa
 
Marekani kazifanya hizo nchi zote kuwa colony zake, wenyewe wanalalamika sana Japan Ujerumani na sasa wanataka kuichukua Russia wamalize mchezo.
 
Mkuu mbona unaleta list ya wayahudi !?
 
U.S,Russia nao waliiba tech Ujerumani nao tuwatoe kwenye list.
Huyo jamaa zwazwa masuala ya ujuzi mataifa Huwa yanaibiana hakuna aliyebuni ujuzi wake peke yake duniani
 
Siku ukishusha Hilo bandiko naomba unitag
 
Almost wote hapo ni Jews.Na Germany vita ya pili iliwacost mno .Otherwise wangekuwa Superpower numéro uno.Ila all in all ni Super Power Ulaya.
 
Ile karata ya Hitler ingetiki kila kitu kingeishia pale NAZI ingekuwa superpower. Stallin hatari sana yule mtu Game iligeuka Hodi ya kwanza ikawa Berlin ila wanazi walibonda kweli kweli watu na nusu wale but ego ya Hitler alikuwa Hashauriki. akaona dharau hizi akajiua!!
 
Almost wote hapo ni Jews.Na Germany vita ya pili iliwacost mno .Otherwise wangekuwa Superpower numéro uno.Ila all in all ni Super Power Ulaya.
Hata Sasa Ujerumani ni European superpower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…