Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Wakuu kwema,
Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya.
Mimi nikiwa na hasira nakula zangu mziki wa taratibu mpaka usingizi utanichukua, na kila kitu kinabaki huko huko ndotoni, japokuwa siku nyingine huwa vinagoma mpaka nimchane (kwa maneno) aliyenikosea ndio hasira inapungua.
Wewe huwa unafanyaje kupunguza hasira yako?