Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

natafuta duka la throne na beti dau kubwa,,nimeacha kubet lakini nikikasirika naenda kubet na nafatilia mechi mpk mwisho. nikishinda hasira zote zinakata na naenda kufanya shopping k/koo nikiliwa yaani lazima nikeshe nagonga tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwaiyo ukishindwa hasira zinakuwa mara mbili
 
Nikikasirika sana au kukosa solution ya kitu nnachokiwaza Nageukia Bapa (Konyagi), chukua glass mimina kiasi naanza kuangalia Documentaries ngumu kumeza zinazohitaji akili na muda au nitaangalia Hollow movies !! Muda huo huwa nataka niwe mwenyewe tu !! Nikiteremsha bapa kuelekea nusu !!
Roho ishasuuzika kabisa ! Kutoka hapo ni usingizi wa kutosha !!
 
Mambo ya kula vitu vitamu, chocolate...cake
Chochote tu kilicho mbele yangu hua nakula...au natafuta kitu ambacho nlikua natamani kula mda mrefu...yani hasira zangu zitaishia kwenye kutafuta hicho kitu hadi nikipate by any cost..hapo ndo roho yangu itatulia
 
Aisee... nafikiria kwa mwezi umekasirishwa na watu nne....unabongeka fasta
 
Aisee... nafikiria kwa mwezi umekasirishwa na watu nne....unabongeka fasta
Hamna nipo kawaida tu,,, sema hua sipendagi makasiriko kwahiyo rahisi kuyaepuka ila ikitokea yamenifika shingoni ndo hua nafanya hivyo
 
Mimi nikiwa na hasira hua nawaza kula tu mda wote,, na ntakula kwelikweli hadi hasira ziisheπŸ™ˆπŸ™ˆ
aisee mbona mimi huyu,

nakumbuka chuo nilipata mahasira na mastress ya matokeo basi nilienda kula pizza two times (first time) nikatoka hapo nikapiga kitimoto nusu nikakaa kama nusu mbele nikaenda kupiga urojo hahaha.

nilitumia karibia bajeti nzima ya mwezi.
 
HahaahhahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
Ukiwa umekasirika Sana. Kitu Cha kwanza kabisa. Hesabu moja mpaka kumi, Kisha chukua glasi ya maji. Yanywe yote. Thank me later.
 
Back
Top Bottom