Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

Unatakiwa ujue chanzo cha hasira zako...
Kama hapo wala sio fundi nguo..
Wewe unajikasirikia mwenyewe Kwa kushindwa afford kununua nguo unazotaka Hadi unaenda Kwa mafundi nguo WA uswazi wasumbufu....so hasira zako unazielekeza Kwa fundi nguo ila kiukweli Una hasira na wewe mwenyewe...
🤣🤣🤣 dah
 
Nikiwaga na hasira siwezi kuongea, uwa nanyamaza kimyaaaaa.
Akili inaweza kuwa inaongea ila mdomo hauwezi..... kifuatacho kilio 🥹
 
Mi mpaka nikasirike umefanya kazi (sijali).Ila nikifika kikomo huwa natumia lugha za kuuzi sana.
😃😃 huku jf mm ndio ufanye kazi kunitoa kwenye reli. Ila duniani nakasirika upesi, na nitawanyamazia hapo mpk hasira ishuke
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
😃😃 huku jf mm ndio ufanye kazi kunitoa kwenye reli. Ila duniani nakasirika upesi, na nitawanyamazia hapo mpk hasira ishuke
Mama yangu mkubwa nilishawahi kumwambia kuanzia dakika hii tunaongea sikuheshimu tena.Akaitangazia dunia mi mwehu😄😄.Huku JF ni kuwa msanii msanii tu.
 
aisee mbona mimi huyu,

nakumbuka chuo nilipata mahasira na mastress ya matokeo basi nilienda kula pizza two times (first time) nikatoka hapo nikapiga kitimoto nusu nikakaa kama nusu mbele nikaenda kupiga urojo hahaha.

nilitumia karibia bajeti nzima ya mwezi.
Duh, hapa ulitisha🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwa umekasirika Sana. Kitu Cha kwanza kabisa. Hesabu moja mpaka kumi, Kisha chukua glasi ya maji. Yanywe yote. Thank me later.
Unatulia bila kuleta madhara👏👏
 
Naenda kuoga na kutawadha kwani
Hasira huletwa na shetani na shetani ameumbwa na moto, Kwahiyo moto dawa yake ni maji

Imeisha hiyooo
 
Back
Top Bottom