Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 233
- 298
Natafuta punching bag tu..Wakuu kwema,
Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya.
Mimi nikiwa na hasira nakula zangu mziki wa taratibu mpaka usingizi utanichukua, na kila kitu kinabaki huko huko ndotoni, japokuwa siku nyingine huwa vinagoma mpaka nimchane (kwa maneno) aliyenikosea ndio hasira inapungua.
Wewe huwa unafanyaje kupunguza hasira yako?
Last option umetisha sana jombaππNatafuta punching bag tu..
Zitapigwa ngumi hapo, mpaka hasira itakata
Au last option napiga nyeto
Nasikiliza mixa kula. Unajua ukiwa na hasira pamoja na maumivu mistari ya muziki ndio unailewa vizuri?Huwa unakula muziki au unasikiliza muziki?π
Mimi huwa nasikiliza hip hop za mbele tuWakuu kwema,
Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya.
Mimi nikiwa na hasira nakula zangu mziki wa taratibu mpaka usingizi utanichukua, na kila kitu kinabaki huko huko ndotoni, japokuwa siku nyingine huwa vinagoma mpaka nimchane (kwa maneno) aliyenikosea ndio hasira inapungua.
Wewe huwa unafanyaje kupunguza hasira yako?
Naondoka eneo la tukio ama kutoongea chochote.Wakuu kwema,
Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya.
Mimi nikiwa na hasira nakula zangu mziki wa taratibu mpaka usingizi utanichukua, na kila kitu kinabaki huko huko ndotoni, japokuwa siku nyingine huwa vinagoma mpaka nimchane (kwa maneno) aliyenikosea ndio hasira inapungua.
Wewe huwa unafanyaje kupunguza hasira yako?
Unatakiwa ujue chanzo cha hasira zako...Mi tayari nishakasirishwa hapa na fundi nguo..
Yaani ningekua na bunduki nafumua kichwa kabisa aaagh
N hata sijui nafanyaje
π€π€π€ππππUnatakiwa ujue chanzo cha hasira zako...
Kama hapo wala sio fundi nguo..
Wewe unajikasirikia mwenyewe Kwa kushindwa afford kununua nguo unazotaka Hadi unaenda Kwa mafundi nguo WA uswazi wasumbufu....so hasira zako unazielekeza Kwa fundi nguo ila kiukweli Una hasira na wewe mwenyewe...
Pole sana Mkuu, usije ukafanya jambo ukaja kujuta baadaeMi tayari nishakasirishwa hapa na fundi nguo.
Yaani ningekua na bunduki nafumua kichwa kabisa aaagh, na hata sijui nafanyaje.
Kweli kabisaMziki wa taratibu ni tiba ya hasira na mawazo.
Noma sanaChap chede kwenye mafegi kwanza kupoza kichwa maana hii kichwa angu ikipanda hasira naeza mmwaga mtu ubongo bila kuwaza mara mbili