Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

🤣🤣🤣 dah
 
Nikiwaga na hasira siwezi kuongea, uwa nanyamaza kimyaaaaa.
Akili inaweza kuwa inaongea ila mdomo hauwezi..... kifuatacho kilio 🥹
 
Mi mpaka nikasirike umefanya kazi (sijali).Ila nikifika kikomo huwa natumia lugha za kuuzi sana.
😃😃 huku jf mm ndio ufanye kazi kunitoa kwenye reli. Ila duniani nakasirika upesi, na nitawanyamazia hapo mpk hasira ishuke
 
Reactions: EEX
😃😃 huku jf mm ndio ufanye kazi kunitoa kwenye reli. Ila duniani nakasirika upesi, na nitawanyamazia hapo mpk hasira ishuke
Mama yangu mkubwa nilishawahi kumwambia kuanzia dakika hii tunaongea sikuheshimu tena.Akaitangazia dunia mi mwehu😄😄.Huku JF ni kuwa msanii msanii tu.
 
Duh, hapa ulitisha🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwa umekasirika Sana. Kitu Cha kwanza kabisa. Hesabu moja mpaka kumi, Kisha chukua glasi ya maji. Yanywe yote. Thank me later.
Unatulia bila kuleta madhara👏👏
 
Naenda kuoga na kutawadha kwani
Hasira huletwa na shetani na shetani ameumbwa na moto, Kwahiyo moto dawa yake ni maji

Imeisha hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…