Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani.
Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda mrefu unatakiwa kuandaa Roho Yako ikutane na kumwabudu Mungu kuliko maandalizi ya MWILI.
Ukiona yafuatayo yanakuchukulia muda sana kabla ya kwenda katika kusanyiko la Ibada, jua ROHO YA Yezebeli inakuongoza.
1. Ikiwa Huwa unaahirisha kwenda ibadani sababu huna nguo mpya, jua Huwa huendi kuabudu Bali kutafuta kuonekana wewe na kuwaangusha watu dhambini Kwa kujua na kutojua.
2. Ikiwa Huwa unatumia muda mrefu kujitizama Kwa kioo, unageuka na kuangalia umbo lako, jua wewe ndiye unatamani upate attention Badala ya Mungu hivyo hiyo ni Ibada ya sanamu.
3. Ukiweka wigi kichwani ndio basi tena, unaweka mapepo kichwani Kwa ajili Yako na unaweka ugomvi na vita katika NDOA Yako, na magomvi yayatakwisha sababu umeyakaribisha.
4. Ukiweka make up, ukajaza tope usoni na ukafanikiwa kupata mwonekano tofauti na asili Yako uliyozaliwa nayo, jua kuwa yule atakayeonekana baada ya kufanya make-up ni Pepo ambaye atakuwa akiwavuta watu kuzini nawe na kutamani hivyo kuondoa utulivu wa Ibada, jua unatumika na shetani Kwa kujua na Kwa kutojua hivyo hakuna Ibada hapo ni unafanya uharibifu, Bora Usiende katika kusanyiko la WATAKATIFU.
5. Ukipaka lip shine red mdomoni, maana yake kiroho u mnywa Damu, a witch, unatumika na Ulimwengu wa Giza kusaidia kuwaroga watu utaokutana nao nyumba ktk ya Ibada. Hapo hakuna Ibada, unafanya KAZI ya shetani ukiongozwa na Yezebeli mama wa makahaba na wachawi.
6. Ukiona unapenda kuvaa nguo za kubana, unapandisha maziwa juu, unafurahia kuvaa nguo fupi, za kubana, ikiwa unavaa nguo zenye kuacha mabega wazi nk nk, jua unaongozwa na mama Yako aitwaye Yezebeli mama wa makahaba. Kila akuonaye na kukutamani atamtenda Mungu dhambi na wewe utakuwa chanzo Cha UOVU huo ndani ya nyumba ya Ibada hivyo umefanyika agent wa kuzimu Kwa kujua au kutojua.
7. Ikiwa unavaa viatu virefu, viatu hivyo ni kujiinua, ni mwonekano wa mbuzi, mtizame mbuzi vizuri, mwonekano wake ndio uliotumika kutengeza viatu hivyo na mwonekano wa kujikuza, viatu aina hiyo zamani ulivaliwa na wanaume, kelele unazopiga uingiapo nyumba ya Ibada na mwendo wako wa maringo huondoa attention ya watu kusikiza neno la Mungu na kugeukia kukutizama wewe, huko kujiinua na kuvuruga Ibada ni Mpango na KAZI maalum unafanya ya shetani ndani ya nyumba ya Ibada. Na Kila akuangaliaye na kukutamani, hufanya zinaa nawe moyoni hivyo jua u kahaba wewe, maana imeandikwa, amtizamaye mwanamke Kwa kumtamani amekwisha zini naye moyoni.
8. Ikiwa unaweka kucha bandia ndefu, u msukule wewe, unatangaza uchawi bila kujua, unatumika kuwavuta na kuwaroga wakutizamao Ili waje kufungwa katika magereza ya kuzimu Ili waje kuwa misukule, sasa kufanya hayo ibadani unafanya uchawi na unaongozwa na Roho ya Yezebeli.
9. Ikiwa umenyoa nyusi za asili na kuweka bandia, ikiwa unaweka kope bandia, jua unafanya uchawi, uyafanyayo yanaitwa vifuniko vya uso, hayo hutumika na wachawi kuficha identify zao wasionekane waendapo kufanya uchawi. Sasa wewe kufanya hivyo ni unawanga ndani ya nyumba ya Ibada Kwa kujua na kutojua ukiamini ni mapambo kumbe unatumika na Roho ya Yezebeli kahaba mkuu, mama wa makahaba na uchawi.
Imeandikwa, nyumba yangu itakuwa nyumba ya Ibada, Si pango la wanyanganyi, usipageuze Mahali pa kusanyiko kama mahali pa kutafuta wateja Kwa ajili ya uzinzi, hapo ni Mahali patakatifu Si gulio la makahaba.
Mwili wako ni hekalu la Mungu, unatakiwa usitiriwe Kwa mavazi ya staha Ili watu wakutizamapo wamtukuze Mungu, Si wakuangalie na kuingiwa na tamaa ya kuzini au kupiga punyeto.
Msiseme sikuwaonya kabla.
Mungu awabariki.
Ikiwa unapenda kubadilika, kumpa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen