Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

Mkuu kumbe na wewe ni Sukuma gang, ndiyo maana kumbe ukaona bora huyu Msukuma gang mwenzio
Hilo kundi halikuwahi kuwepo, halipo na halitakuwepo katika Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
 
Hilo kundi halikuwahi kuwepo, halipo na halitakuwepo katika Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Labda kama unataka kujitoa tu ufahamu. Ngoja nikupe mfano mdogo wa watu ambao ni members

1: Jiwe
2: Bashite
3: Ndungaye
4: Budi, mzee wa jalalani
5: Slow slow
Hao ni baadhi tu
 
Labda kama unataka kujitoa tu ufahamu. Ngoja nikupe mfano mdogo wa watu ambao ni members

1: Jiwe
2: Bashite
3: Ndungaye
4: Budi, mzee wa jalalani
5: Slow slow
Hao ni baadhi tu
Hilo kundi halipo,

Ukiniambia Kuna tabaka kubwa la Walionacho na kundi dogo waliotajirika sana Kwa njia ziso halali, nitakubali.

Lengo hapa ni kurudisha usawa, wote tunufaike na raslimali zetu.
 
Nani anateua hiyo tume? Inawajibika kwa nani? Kama bado mpiga mwingi is at the helm matunda yatakua yale yale.
Hayo yamo ndani ya Rasimu aliyosimamia Judge Warioba.
 
Jiwe alimteua la saba kuwa Mkurugenzi TPDC.

Sijui ni kwanini mwendazake anaonekana malaika ila sa100 ni mkosaji.

Hata jiwe alikuwa na makosa sana!
Taarifa sio ya kweli hakuna darasa la saba amewahi kuteulowa kuwa mkurugenzi TPDC hata hivyo natoa benefit of doubt kutukumbusha alikua nani huyo na lini

sababu magufuli alimkuta Dr.mataragio akiwa mkurugenzi tpdc baada ya muda alipata shida akasimamishwa kazi baadae akaendelea na kazi hadi magufuli anafariki

mama Samia alipoingia baada ya muda akamtengua nafasi yake akateuliwa yule ndugu Thobias Mweesiga ambae alikua uvccm udom, baada ya kugundua makosa yamefanyika mama Samia akamtengua huyu kijana ndani ya masaa machache na kumrudisha Dr.Mataragio ambae aliendanae hadi baadae alipomteua Bw. Mussa Makame kuwa mkurugenzi ambae ndio yupo hadi sasa
 
Mwaka 1961 tulipopata uhuru,

Tanganyika ilikuwa juu kiuchumi kuliko korea ya kusini na kaskazini.

Miaka 60 baadae, tunawagongea Hoda kuomba msaada vijipesa kiduchu vya mboga,

Bahari IPO, unashindwankuwawezesga wavuvi wazawa, unaenda kuigawa Kwa wageni Ili waje kuwatimua wazawa!!

CCM ni cancer mbaya sana.
Uhakika wa hizi habari?
 
Salaam, Shalom!!

Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,

Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu, ukimteua kiongozi, ni sharti umtaarifu na kumuuliza ikiwa ataafiki kabla ya kutangaza, sasa ikiwa wamemteua mtu aliye mortuary kuwa kiongozi wetu, wanaweza kabisa kutegewa ka kifungu fake kanakoongelea wageni kununua nchi yetu yote, na kwa kuwa lugha ni ngumu na huwa hawasomi na hawana Umakini watasaini tu.

Naleta HOJA mezani ya kuwapiga pin viongozi wetu wasisaini mikopo kwa niaba yetu maana yawezakuwa huwa hawazingatii masharti nyuma ya mikopo hiyo, ndiyo maana vitabu vinavyohamasisha uchafu, ushoga kwa watoto wetu vinazagaa mashuleni na mitaani!

Ushauri: Iundwe Taasisi huru yenye wataalamu wabobevu watakaohusika na kupitia vetting na mikataba yote ya nchi kabla ya kusainiwa Ili kulinda Nchi yetu.

Swali: Ni nani wa kumfunga paka kengele?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
CCM ndio imefika hapo pa kuwapa vyeo marehemu, nafikiri hiki ni chama cha marehemu sijui ni akina nani walio hai wanakuwa wanachama wa chama kama hiki!
 
Hivi kumbe mnajua kama kuna mambo ya hovyo!!
Maana kila siku ni kuupiga mwingi tu!!
 
SPIN(Propaganda) Misdirection and diversion ...Soon mtasahau habari za Mkataba wa Korea,maana habari ya marehemu ndio imekua jambo la kujadili..
Spin haifanywi kudhalilisha ofisi kubwa ni kosa limetokea limerekebishwa wapo pia wataowajibisbwa, ukiniambia habari za Simba viongozi kung'atuka ni spin hapo nitaelewa
 
IMG-20240606-WA0002.jpg

Tulieni, tupo makini
 
Karibuni
Salaam, Shalom!!

Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,

Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu, ukimteua kiongozi, ni sharti umtaarifu na kumuuliza ikiwa ataafiki kabla ya kutangaza, sasa ikiwa wamemteua mtu aliye mortuary kuwa kiongozi wetu, wanaweza kabisa kutegewa ka kifungu fake kanakoongelea wageni kununua nchi yetu yote, na kwa kuwa lugha ni ngumu na huwa hawasomi na hawana Umakini watasaini tu.

Naleta HOJA mezani ya kuwapiga pin viongozi wetu wasisaini mikopo kwa niaba yetu maana yawezakuwa huwa hawazingatii masharti nyuma ya mikopo hiyo, ndiyo maana vitabu vinavyohamasisha uchafu, ushoga kwa watoto wetu vinazagaa mashuleni na mitaani!

Ushauri: Iundwe Taasisi huru yenye wataalamu wabobevu watakaohusika na kupitia vetting na mikataba yote ya nchi kabla ya kusainiwa Ili kulinda Nchi yetu.

Swali: Ni nani wa kumfunga paka kengele?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
[/QUOTE]
Kuna msemo kuwa: ' if it quacks like a goose then it is the goose
 
Uhakika wa hizi habari?
Ndio, mwaka 1961,

1 Usd ilikuwa sawa na 10 tshs!!

Hujui kuwa wakorea wamepewa deep sea kufanya UVUVI Kwa mkataba wa mkopo huo?

Kwani Serikali imeshindwa kuwadhamini wazawa wanunue Meli kubwa za uvuvi Ili nasi twende kufanya UVUVI deep sea?
 
Mtu amefariki siku tatu kabla na mamlaka hazijui hii inaweza kuashiria yanayoendelea huku uraiani si kipaumbele cha wakubwa wengi; huduma wanazozipata (usafiri matata, ulinzi, makazi, ...) zinawatenga na jamii halisi.
 
Back
Top Bottom