- Thread starter
- #61
Hilo kundi halikuwahi kuwepo, halipo na halitakuwepo katika Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿Mkuu kumbe na wewe ni Sukuma gang, ndiyo maana kumbe ukaona bora huyu Msukuma gang mwenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo kundi halikuwahi kuwepo, halipo na halitakuwepo katika Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿Mkuu kumbe na wewe ni Sukuma gang, ndiyo maana kumbe ukaona bora huyu Msukuma gang mwenzio
Labda kama unataka kujitoa tu ufahamu. Ngoja nikupe mfano mdogo wa watu ambao ni membersHilo kundi halikuwahi kuwepo, halipo na halitakuwepo katika Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their mind...☹️
Hilo kundi halipo,Labda kama unataka kujitoa tu ufahamu. Ngoja nikupe mfano mdogo wa watu ambao ni members
1: Jiwe
2: Bashite
3: Ndungaye
4: Budi, mzee wa jalalani
5: Slow slow
Hao ni baadhi tu
Huyo si ndiye alitaka kumwongezea muda mwendazakeMzee Ndugai aendelee kutusamehe.
Silaha walizonazo werevu hazitoshi kumaliza wajing waliopoKwa hiyo tuendelee kuwapuuza nchi ikiendelea kuuzwa?
Ushauri: Iundwe Taasisi huru yenye wataalamu wabobevu watakaohusika na kupitia vetting na mikataba yote ya nchi kabla ya kusainiwa Ili kulinda Nchi yetu.
Hayo yamo ndani ya Rasimu aliyosimamia Judge Warioba.Nani anateua hiyo tume? Inawajibika kwa nani? Kama bado mpiga mwingi is at the helm matunda yatakua yale yale.
Taarifa sio ya kweli hakuna darasa la saba amewahi kuteulowa kuwa mkurugenzi TPDC hata hivyo natoa benefit of doubt kutukumbusha alikua nani huyo na liniJiwe alimteua la saba kuwa Mkurugenzi TPDC.
Sijui ni kwanini mwendazake anaonekana malaika ila sa100 ni mkosaji.
Hata jiwe alikuwa na makosa sana!
Hayo yamo ndani ya Rasimu aliyosimamia Judge Warioba.
Uhakika wa hizi habari?Mwaka 1961 tulipopata uhuru,
Tanganyika ilikuwa juu kiuchumi kuliko korea ya kusini na kaskazini.
Miaka 60 baadae, tunawagongea Hoda kuomba msaada vijipesa kiduchu vya mboga,
Bahari IPO, unashindwankuwawezesga wavuvi wazawa, unaenda kuigawa Kwa wageni Ili waje kuwatimua wazawa!!
CCM ni cancer mbaya sana.
CCM ndio imefika hapo pa kuwapa vyeo marehemu, nafikiri hiki ni chama cha marehemu sijui ni akina nani walio hai wanakuwa wanachama wa chama kama hiki!Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,
Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu, ukimteua kiongozi, ni sharti umtaarifu na kumuuliza ikiwa ataafiki kabla ya kutangaza, sasa ikiwa wamemteua mtu aliye mortuary kuwa kiongozi wetu, wanaweza kabisa kutegewa ka kifungu fake kanakoongelea wageni kununua nchi yetu yote, na kwa kuwa lugha ni ngumu na huwa hawasomi na hawana Umakini watasaini tu.
Naleta HOJA mezani ya kuwapiga pin viongozi wetu wasisaini mikopo kwa niaba yetu maana yawezakuwa huwa hawazingatii masharti nyuma ya mikopo hiyo, ndiyo maana vitabu vinavyohamasisha uchafu, ushoga kwa watoto wetu vinazagaa mashuleni na mitaani!
Ushauri: Iundwe Taasisi huru yenye wataalamu wabobevu watakaohusika na kupitia vetting na mikataba yote ya nchi kabla ya kusainiwa Ili kulinda Nchi yetu.
Swali: Ni nani wa kumfunga paka kengele?
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Spin haifanywi kudhalilisha ofisi kubwa ni kosa limetokea limerekebishwa wapo pia wataowajibisbwa, ukiniambia habari za Simba viongozi kung'atuka ni spin hapo nitaelewaSPIN(Propaganda) Misdirection and diversion ...Soon mtasahau habari za Mkataba wa Korea,maana habari ya marehemu ndio imekua jambo la kujadili..
Ndio, mwaka 1961,Uhakika wa hizi habari?