Jamii forum ni Fursa huru na sawa,kwa wote kwa kuzingatia utu na maadili. Muuliza swali alihitaji jibu sio kejeli wala matusi. 'Ikiwa wazazi wako hawakubahatika kupata mtoto, ni kweli kwamba wewe unaweza upate mto kwa kuzaa aukwa njia ulivyopatikana wewe baada ya wazazi wako kutobahatika kukuzaa wewe. Hiyo inamaana kwamba kama hao wazazi wako hawakuwa na uzazi Bali wakakuasili ,(adopt) nawe waweza pata mtoto kwa kuzaa ama kuasiliQUOTE="aise, post: 30353367, member: 530082"]Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu![/QUOTE]