wewe umeshuka toka juu?Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Huyu dogo mwenzio unaona anavyozingua?!?Niko hapa we mzee
Ila ujue kapost chit chat anachangamsha tu jukwaa mzima lakiniHuyu dogo mwenzio unaona anavyozingua?!?
Mzema saaana nipo nakula Pensheni ya kulima Kahawa ahahahhahIla ujue kapost chit chat anachangamsha tu jukwaa mzima lakini
KaribuIla ujue kapost chit chat anachangamsha tu jukwaa mzima lakini
Ngumu kumeza jinywee baba
Tumia akili dogo.Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Hahhahahah wewe mtu bwanaNafurahi kukuona mama, i miss your voice mum