Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Mwanaume wa mkoa kawa mwanaume wa Dar kwa spidi ya dreamliner kudadeki zako.
kwa bangi zako utakuja kutuuliza chakula kinaliwaje au maji wanakunywaje?
 
Ila ujue kapost chit chat anachangamsha tu jukwaa mzima lakini
Karibu
IMG_20190209_210224.jpeg
 
We jamaa uliyempa kazi huyu charii hakikisha leo analala juu ya bati apulizwe na upepo kidogo akili itamkaa
Boss wangu yupo bize, ana mambo mengi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom