[/QUOTE]Mambo ya adopt umeleta weweJamii forum ni Fursa huru na sawa,kwa wote kwa kuzingatia utu na maadili. Muuliza swali alihitaji jibu sio kejeli wala matusi. 'Ikiwa wazazi wako hawakubahatika kupata mtoto, ni kweli kwamba wewe unaweza upate mto kwa kuzaa aukwa njia ulivyopatikana wewe baada ya wazazi wako kutobahatika kukuzaa wewe. Hiyo inamaana kwamba kama hao wazazi wako hawakuwa na uzazi Bali wakakuasili ,(adopt) nawe waweza pata mtoto kwa kuzaa ama kuasiliQUOTE="aise, post: 30353367, member: 530082"]Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyewe natafuta wa kunifundisha ukimpata ras simba uniambie toto [emoji8]Mama najifunza English, pleas teach me.
Ukishindwa kupata kwa mkeo itabidi ww ndo ubebe mimbaHivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Sasa wewe umetokea wapiHivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Hahaha duuh we acha tu interview zina mamboIngelikuwa ni kwenye Interview, hili swali lingenivuruga sana kiakili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Ningeteseka kujibu
Amenikumbusha uzi wake ule wa mbwa wa kisasa.
Ili tucheke majibu yanayotolewa. Huyu ni kichaa asipoachwa kutoa kilichomo kwenye ubongo wake, atajinyonga au atakula sumu.
Wewe ulipatikanaje Mkuu?Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!