Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

Ehee, Sasa hii ndio Inaitwa "Chit-chat". A perfect & well explained definition of Chit-chat. Heko to aise
 
Assumption 1: Hao ni walezi wako na sio wazazi wako ( Adopted Child)
Jibu: Ndio utapata watoto

Assumption 2: Wewe ni "Test tube baby"
Jibu: Una chansi za kupata watoto kwa njia ya kawaida lakini sio asilimia mia sababu unaweza kurithi matatizo ya wazazi wako (inategemea we ni ke/me pia). Pia Unaweza pata kwa njia hiyihiyo ya wazazi wako. Pia itategemea utakayekuwa nae kama na yeye hana matatizo.

Konklushen; Utapata Watoto
Mungu akipenda
 
Jamii forum ni Fursa huru na sawa,kwa wote kwa kuzingatia utu na maadili. Muuliza swali alihitaji jibu sio kejeli wala matusi. 'Ikiwa wazazi wako hawakubahatika kupata mtoto, ni kweli kwamba wewe unaweza upate mto kwa kuzaa aukwa njia ulivyopatikana wewe baada ya wazazi wako kutobahatika kukuzaa wewe. Hiyo inamaana kwamba kama hao wazazi wako hawakuwa na uzazi Bali wakakuasili ,(adopt) nawe waweza pata mtoto kwa kuzaa ama kuasiliQUOTE="aise, post: 30353367, member: 530082"]Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto?
...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
[/QUOTE]Mambo ya adopt umeleta wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama najifunza English, pleas teach me.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenyewe natafuta wa kunifundisha ukimpata ras simba uniambie toto [emoji8]
 
Ila jamaa anajua kuteka hisia za watu...alianza hi i hivi kwenye series ya safar ya kutoka kigoma....watu wakakesha hapa....dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiona mtu mzima anaongea habari za kitoto ujue kuna walakini
Lakini pia ukiona mtu mzima anachangia katika habari za kitoto, ujue kuna zaidi ya walakini hapo.
 
Hebu rudia ulichoandika , andika tena
 
Back
Top Bottom