Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

KATIBA NDIO MAANA INAPIGIWA KELELE
 
Una nini na Bavicha? Why not UVCCM? Ameongea kitu very sensitive, nilidhani ungekuja na points kuntu badala yake unaandika ujinga?

Ni lini tutaweza kutenganisha National interest dhidi ya self greed??
Tulikuwa tunakusubiri wewe bwashee!
 
Ni ukweli hakika
 

Yaani Rais anayechaguliwa kama atamchagua makamu wake mtu ambaye anataka kumuua hakuna wa kulaumu! itakuwa ujinga wa ngazi ya juu
 
Wasukuma mmeumizwa sana kwanini kipengele hicho kimekuja kufanya kazi wakati wa Magufuli, poleni sana.
 
Yaani Rais anayechaguliwa kama atamchagua makamu wake mtu ambaye anataka kumuua hakuna wa kulaumu! itakuwa ujinga wa ngazi ya juu
Nafkr Raisi anayechaguliwa Kwa mhula wa Kwanza chama ndo humpangia mhula wa pili ndo anakuwa na nafas ya kuchagua....!! Whatever the case Kwa Hali ilivyo ni risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…