Naona akili sasa zimekurudia hasa baada ya huu msiba maana huijui kesho yako.Kwa mara ya kwanza Mmawia naona umeongea kitu. It has to be so.
Ile ilikuwa sio katiba. Ilikuwa pendekezo la katiba. Kwa vile haikupitishwa, inabaki pendekezo tu na sio katiba.Hivi ile katiba ya warioba ilipendekeza hivi hivi au?
Sasa kama umeuanzisha unataka kujadili mwenyewe. Au unataka uunngwe mkono tu, wenye mawazo tofauti wanyamaze!Mimi ndo nimeanzisha huu mjadala, mmezoea kutisha watu, bull shit perish in hell!!
Dogo nilivuka umasikini miaka 22 iliyopita, na unaweza kupata aibu ukikutana na mimi macho kwa macho. Mimi ndio mmoja wa wenye mawazo huru kwa kuwa sitegemei maoni yangu yanipe chakula. Riziki ya kula, kusaza na ya kugawa ipo tuu, na mimi ni mdingi ki umri dogo.Naona akili sasa zimekurudia hasa baada ya huu msiba maana huijui kesho yako.
Mkate wa kila siku itakuwa ni tabu sana safari hii.
Nakushauri fanya maamuzi magumu urudi kijijini kwenu koromitje ukaanze kuvua nyingu
Mtoa post yupo powa kabisa, ni kweli hila zipo japo hatumaanishi Muheshimiwa Samia kafanya hivyo,laikni kunahaja ya kuangalia kipengele hicho.Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Dogo nilivuka umasikini miaka 22 iliyopita, na unaweza kupata aibu ukikutana na mimi macho kwa macho. Mimi ndio mmoja wa wenye mawazo huru kwa kuwa sitegemei maoni yangu yanipe chakula. Riziki ya kula, kusaza na ya kugawa ipo tuu, na mimi ni mdingi ki umri dogo.
Na mimi sio lazima niende Kolomije nisiko kujua, Usangi au Lyamungo Sinde kunanitosha. Muulize mwenyekiti wako kuhusu mimi atakuhabarisha.
Na sasa Biden anaafya mgogoro kinapiga mieleka tu anaanguka peke yakeKuna baadhi ya nchi hufanya hivyo. Ndani ya siku 90, uchaguzi wa Rais unafanyika tena. Ila kwa bahati mbaya nadhani sisi tumechukua mfumo wa nchi kama Marekani!
Kile kibabu Joe Biden kikatokea ghafla kikaanguka, na kwenyewe kutatokea tukio la kihistoria kwa Makamu wa Kwanza kabisa Mwanamama Camara Harris kukabidhiwa Nchi ya Kibeberu kuitawala
Nchi jirani ilishawahi kutokea na Makamu Rais akatawala muda mrefu mpaka akastaafu. Kweli ni hatari sana kama ni mbinafsi na mpenda madarakaNdugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Hivi ile katiba ya warioba ilipendekeza hivi hivi au?
Kwani yangu sio mawazo?Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.
Nimeona mfano huko Kenya, kwenye kiti cha Gavana, mgombea mwenza antafuta njia ya kumuondoa Gavana ili yeye awe gavana. Naimetokea si mara moja. Lakini kwa kiti cha Rais walikua wajanja hawakuweka hicho kifungu.Mkuu unaelewa maana ya mgombea mwenza? Nafasi wameigombania kwa pamoja, kwahiyo ni kama yao wote. Labda angalizo litolewe kwa vyama kuwa wa hakikishe both candidates are of equal capacity\potentials, otherwise it is too early to forecast and judge.
Ndio mkuu, turukishwe kichura chura mpaka tuisome nambaMkuu wa Majeshi ??? Hapana
Nafsi yangu inaniambia samia hatamaliza muda wake salama. Na kila nikichungulia Twitter nazidi kuogopaWatu wanaweza wasikuelewe hapa au hata usieleweke Kwao upesi ila umekuja si tu na Hoja nzuri na Muhimu lakini pia kuna Fumbo umelifumba hapa hasa kutokana na Tetesi za chini chini kuwa kuna Kundi fulani lenye Sifa ya Umafia na pia lina Pesa limecheza Mchezo wote Kiufundi kabisa na Mission ya Siku nyingi imekuwa Accomplished.
Nakubaliana nawe 100% juu ya Hoja yako Ndugu ili tuepuke Misiba mingine isiyo ya Kilazima huko mbeleni. Na hata aliyeshika hatamu sasa namshauri awe Makini kuliko wakati wowote kwani hata wanaomzunguka sasa wana Ubobezi mkubwa tu wa Kimafia na Wanajulikana kutokana na Washirika wao.
Hapana mkuu, huyo jamaa kanishambulia utafikiri mimi ndo nimeanzisha huu uzi, wakati na mimi ni mchangiaji...mijitu mingine ni nuksi tupu utafikiri inatumwa kuja kutisha watu humu....Sasa kama umeuanzisha unataka kujadili mwenyewe. Au unataka uunngwe mkono tu, wenye mawazo tofauti wanyamaze!
Acha utabiri wa tunguliKama anateseka subirini mtaona madhara yake.
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Ili Rais aweze kuuawa usalama taifa unahusika 200%Una hoja nzuri
Lakini hata kikiomdolewa,kukawa na uchaguzi..naona bado mambo yatakuwa yaleyale...mtu anaweza fanya hila amuue Rais ili apate mwanya wa yeye kugombea.