Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini umzue kutoa maoni haya katika kipindi hiki? kwani kuna muda umepangwa maalumu wa kutolea maoni ibara za katiba? je tuambie ni muda gani upite baada ya tukio la sasa ili mtoa mada apate uhalali wa kutoa mada kama hii? je hujasikia watu wakija juu wakitaka ibara ya katiba iliyounda tume ya uchaguzi ibadirishwe kwa kuwa tu wamehisi kuonewa na tume husika?Kwani yangu sio mawazo?
Nimehoji kwann kauli ya kubadilisha katiba kuhusiana na VP kuwa Rais mleta mada ameileta leo wakati katiba siku zote ipo na yeye hakuwahi kuleta hyo hoja?
Nikauliza je mleta mada anateseka na Urais wa Samia?
Haya niambie ujinga wangu uko wapi?
Toa hiyo namba tatu maana jeshi sio utawala wa kirahia na kuna taratibu za wao kushika madaraka pia ikibidi ambyo siyo ya kiraiaMimi nadhani hiyo sheria ipo sawa, ila kwa maoni yangu ningependa mtiririko wa kuwa rais kama rais akifariki au kushindwa majukumu yake yawe hivi
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Mkuu wa majeshi
4. Waziri mkuu
5. Jaji mkuu
Dawa ya wanawake kama nyie ni kuwapiga mbupu mpaka utumbo wa ukeni utoke nje.Katiba imeandikwa kabla hujazaliwa hakuna kitu kimetokea leo dola kashika Mwanamke wa shoka mnaanza ufukunyuku,
Poleni sana ngoma ndio kwaaanza inaanza.
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.
kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.
Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Rais na Makamo wa rais ni ofisi mbili tofauti na hawana ukaribu sana ndiyo maana nadhani katiba yetu imekaa ivyo maana katibu mkuu kiongozi anaukaribu sana na rais kuliko Makamo wa RaisNakubaliana na wewe 100% Makamubawe rais mwa miezi 6 baada ya hapo ufanyike uchaguzi

Nguvu upate sasa, umelegea kama mlenda wa juzi,Dawa ya wanawake kama nyie ni kuwapiga mbupu mpaka utumbo wa ukeni utoke nje.
Hiki ni kipindi kigumu sana kwa MATAGA.Ndicho mlitegemea poleni
Nakubaliana na wewe ndio maana sheria huwa sio timilifu, inapotokea changamoto ndipo watunga sera na sheria hukaa na kutafuta namna ya kutatua tatizo kwa hiyo mpango huo ni sharti utungiwe sheria. Ukisoma ktiba na sheria zilizopo akitokea mtu mtukutu anayetaka kila kilichoandikwa kitafutiwe tukio kuona kama inafanya kazi utatokea mtafaruku mkubwa sana.ninahisi ana maoni kwamba,mara nyingi kwenye uchaguzi mkuu huwa tunampigia kura Rais,mgombea mwenza wake mara nyingi huwa hawaumizi watu vichwa kwa kuwa wanaamini atafanya kazi chini ya Rais aliepigiwa kura...mawazo yake nilivoyasoma ni kuwa huyu makamu anakuwa Rais gafla wakati watu kisaikolojia hawakujishugulisha na kujua sifa zake wakati anagombea na Rais,kwa hiyo mtoa mada anahisi tunapata Rais ambae hatukumchagua
maoni yangu mimi...huo utaratibu wa kikatiba unaousemea wewe,watunga katiba hii ni kama walikuwa wanawaza kuwa hata Rais ikitokea akafariki,hawezi kufariki mwanzoni mwa mhula namna hii, waliamini Rais lazima avute vuteee ikiwezekana walau hata miezi michache kabla ya mhula wake kuisha ndiyo anaweza kufa, kwetu limetokea mwanzoni kabisaaa,ni mhula mzima wa miaka mitano
Mkuu huyu alizunguka nchi nzima akiomba kura kama mgombea mwenza! Maana yake ndio hiyo ukimchagua rais unakuwa umeridhika pasi na shaka na makamu wake! Na kwamba lolote likitokea anaweza kuwa raisi wa nchi kama ilivyotokea kwa Samia!Mkuu hata mimi nimeshangazwa sana na hili, angetakiwa akaimu hiyo nafasi kwa miezi mitatu na kuitisha uchaguzi upya. Au laa, kama umebaki chini ya mwaka mmoja ndo aendelee hadi muda wa uchaguzi mwingine utakapowadia. Miaka minne ni mingi sana kwa rais ambaye hajachaguliwa na wananchi.....ndo maana sasa tunashuhudia minyukano ya kugombania nafasi ya umakamu...
Hv mtu anayeongoza majeshi hawezi kuongoza nchi.? Itapendeza siku tukitawaliwa na jeshiToa hiyo namba tatu maana jeshi sio utawala wa kirahia na kuna taratibu za wao kushika madaraka pia ikibidi ambyo siyo ya kiraia
nafikiri alipita kuomba kura akiwa mtu anaeenda kumsaidia Rais baadhi ya majukumu,sidhani kama alipita kuomba kura ili awe kama tairi ya spea,iliyopo ikiharibika inachukua nafasi...hata yeye alivokuwa anapita hakujinadi yeye,bali alikuwa anamuombea mgombea urais kuraMkuu huyu alizunguka nchi nzima akiomba kura kama mgombea mwenza! Maana yake ndio hiyo ukimchagua rais unakuwa umeridhika pasi na shaka na makamu wake! Na kwamba lolote likitokea anaweza kuwa raisi wa nchi kama ilivyotokea kwa Samia!