Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

Mtu wenu alikuwa na betri halafu switch yake ipo Uingereza kwa waliomuwekea,halafu kila siku anawananga matusi,kwanini wasizime switch😳😳
 
kwanini umzue kutoa maoni haya katika kipindi hiki? kwani kuna muda umepangwa maalumu wa kutolea maoni ibara za katiba? je tuambie ni muda gani upite baada ya tukio la sasa ili mtoa mada apate uhalali wa kutoa mada kama hii? je hujasikia watu wakija juu wakitaka ibara ya katiba iliyounda tume ya uchaguzi ibadirishwe kwa kuwa tu wamehisi kuonewa na tume husika?

Je, watu kama hawa wanaodai tume huru baada ya hiyo tume kwafanyia jambo,nao tuwaambie kuwa hawakuiona katiba tangu kale?
 
Hata akiwa RAIS wa mpito, akigombea BADO ATAKUWA NA NGUVU ZA KUSHIKA DOLA.

Tulia kijana, wewe bado kitoto endelea KUKUA
 
Mimi nadhani hiyo sheria ipo sawa, ila kwa maoni yangu ningependa mtiririko wa kuwa rais kama rais akifariki au kushindwa majukumu yake yawe hivi
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Mkuu wa majeshi
4. Waziri mkuu
5. Jaji mkuu
Toa hiyo namba tatu maana jeshi sio utawala wa kirahia na kuna taratibu za wao kushika madaraka pia ikibidi ambyo siyo ya kiraia
 
Katiba imeandikwa kabla hujazaliwa hakuna kitu kimetokea leo dola kashika Mwanamke wa shoka mnaanza ufukunyuku,
Poleni sana ngoma ndio kwaaanza inaanza.
Dawa ya wanawake kama nyie ni kuwapiga mbupu mpaka utumbo wa ukeni utoke nje.
 
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!
 
Nakubaliana na wewe 100% Makamubawe rais mwa miezi 6 baada ya hapo ufanyike uchaguzi
Rais na Makamo wa rais ni ofisi mbili tofauti na hawana ukaribu sana ndiyo maana nadhani katiba yetu imekaa ivyo maana katibu mkuu kiongozi anaukaribu sana na rais kuliko Makamo wa Rais
 
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!
 
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!
 
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!
 
Inaonekana umekuwa unanifuatilia sana kwenye comments zangu dogo eeh!
 
ni sawa wangeruhusu mshindi wa pili nafasi ya ubunge awe mbunge kamili pindi mbunge mshindi wa kwanza anapofariki!
 
Nakubaliana na wewe ndio maana sheria huwa sio timilifu, inapotokea changamoto ndipo watunga sera na sheria hukaa na kutafuta namna ya kutatua tatizo kwa hiyo mpango huo ni sharti utungiwe sheria. Ukisoma ktiba na sheria zilizopo akitokea mtu mtukutu anayetaka kila kilichoandikwa kitafutiwe tukio kuona kama inafanya kazi utatokea mtafaruku mkubwa sana.

Kama hauamini basi subiri kabla ya 2025 kitu gani kitatokea na utaona viongozi watavyojikanganya..............
 
Mkuu huyu alizunguka nchi nzima akiomba kura kama mgombea mwenza! Maana yake ndio hiyo ukimchagua rais unakuwa umeridhika pasi na shaka na makamu wake! Na kwamba lolote likitokea anaweza kuwa raisi wa nchi kama ilivyotokea kwa Samia!
 
Huu mfumo Ni mzuri kwakuwa unaepusha gharama. Any body can kill a president kinachotakiwa Ni security.

Kuna kitu mahakama itakujibu ikiwa utaihoji kuhusiana uhalali wa Makamu wa rais aliyemuua raisi kushika madaraka ya uraisi
Nitanukuu
"A wrong doer's can not benefit from his wrong"
 
Mkuu huyu alizunguka nchi nzima akiomba kura kama mgombea mwenza! Maana yake ndio hiyo ukimchagua rais unakuwa umeridhika pasi na shaka na makamu wake! Na kwamba lolote likitokea anaweza kuwa raisi wa nchi kama ilivyotokea kwa Samia!
nafikiri alipita kuomba kura akiwa mtu anaeenda kumsaidia Rais baadhi ya majukumu,sidhani kama alipita kuomba kura ili awe kama tairi ya spea,iliyopo ikiharibika inachukua nafasi...hata yeye alivokuwa anapita hakujinadi yeye,bali alikuwa anamuombea mgombea urais kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…