Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urban design ni taaluma nyeti na muhimu Sana ndo inasolve complicated urban issue zote, bila kuipa uzito unaostahili hatutoboiWakati wa uchaguzi manifesto ya Chadema ilielezea kuwajengea machinga vibanda vyenye hadhi ili waweze kufanya biashara katika hali zote za hewa. Pia walisema iko haja ya kuweka sehemu zitakozoendesha biashara kwa masaa 24 ya siku.
Bora hata sahivi maofisi mengi yamehamia ddm!Ni aibu sana posta wamejaaa kibao wanapika mihogo moshi kama wote afu kuna maofisi makubwa, serikal iangalie namna ya kudeal na hawa watu, wanaharibu hata mandhari ya jiji, wanaweka vibanda kwenye njia za watembea kwa miguu, kodi hawalipi
serikali haiwezi kuwa sehemu ya tatizo na wakati huohuo iwe sehemu ya suluhisho pia kwa wakati huohuo.Mpaka sasa hali ishakuwa mbaya hao watu hawawawezi tena ,sasa hivi machinga na bodaboda ni kama wana sheria na taratibu zao tofauti kabisa na za nchi yetu na wakiguswa tu wanadai wananyanyaswa eti kwa vile Magufuli kafa huku wao wakijiamulia chochote wanachojisikia serikali ikitaka kurekebisha hii hali itabidi ifumbe macho vinginevyo.............
Nchi bado haina mipango endelevu yakukabiliana na ongezeko la watu ndo maana mambo yameachwa yajiendee yenyewe kiholela.Vijana walichobakisha ni kuwa wachuuzi wa bidhaa za kichina uku maisha yakizidi kua magumu kila sikuDarasa la saba wanafanya mtihani wa kumaliza shule keshokutwa, wanajiandaa kuja kuwa machinga, sasa hivi wanatafuta nauli tu ya kutoka nanjilinji kuja Dar kwa maelfu kufanya umachinga. Unadhani watafanyia wapi?
Vijana wetu wanachuuza mitumba ya wazungu na bidhaa za viwanda za China.Nchi bado haina mipango endelevu yakukabiliana na ongezeko la watu ndo maana mambo yameachwa yajiendee yenyewe kiholela.Vijana walichobakisha ni kuwa wachuuzi wa bidhaa za kichina uku maisha yakizidi kua magumu kila siku