Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Mi natafuta kazi nipunguze sonona, wewe una kazi unasonona!Hope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa...
Ndiyo inakuwaje yaaniHope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa...
anafanya kejeliMi natafuta kazi nipunguze sonona, wewe una kazi unasonona!
Tupe brief kuhusu mahusiano yakoHope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara...
Pesa au familia sio tiba ya Kila kitu Kuna muda amani hailetwi na vitu au watu...ni wachache sana wanaopitia Hali kama yake watakao muelewa.Sasa unataka nini??
Kazi unayo, faranga unazo, familia unayo wataka nini tena dunia hii ndgu??
In short atafute “ chawa “ 😂Tafuta watu uliwazidi kila kitu ndo wawe marafik zako kwa Sasa achana na marafik wenye kipato,elimu,majivuno,unaifanya nao kazi hii mbinu nilipewa na Og moja toka tailend ...
Inaletwa na nini mkuu? Labda kama kuna jambo anajutia, au anapitia na hapendi kulipitia lakini kutokua sawa for no reason inafikirisha kidogo.Pesa au familia sio tiba ya Kila kitu Kuna muda amani hailetwi na vitu au watu...ni wachache sana wanaopitia Hali kama yake watakao muelewa.
Sio Kila kitu kinaelezeka na ambacho kwako hakiwezekani Kwa wengine kipo na kinawezekana ndio maana ya maisha Kwa ujumlaInaletwa na nini mkuu? Labda kama kuna jambo anajutia, au anapitia na hapendi kulipitia lakini kutokua sawa for no reason inafikirisha kidogo.
Kipi kisichoelezeka, kwahiyo watu kama mleta uzi huwa wanakufa bila kusaidika??Sio Kila kitu kinaelezeka na ambacho kwako hakiwezekani Kwa wengine kipo na kinawezekana ndio maana ya maisha Kwa ujumla
[emoji28] Sina degree ya ubishi.nilijaribu kuelezea nachojua Kwa uzoefu wangu naomba niishie hapa Kwa Sasa.Kipi kisichoelezeka, kwahiyo watu kama mleta uzi huwa wanakufa bila kusaidika??
Yaani hakuna namna mleta uzi atasaidika, maana tatizo halielezeki, atasaidiwaje sasa,??