Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwa karibu na Mungu seriously sio kwa kupapasa,hiyo ndio dawa pekee.Watu wengi wanafikiria kuwa ukiwa na pesa nyingi siku moja utakuwa na furaha,ni Mungu pekee ndio anaweza kukutoa hapo ulipo...Hope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa.
Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja nawapenda sana na wao wananipenda sana mke wangu ni innocent girls
Baada ya kupata ushauri wa watu mbalimbali kuhusu hali yangu, wengi walinishauri nijichanganye kwenye groups za jogging au mijadala na niwe karibu na Mungu wangu, lakini haijanisaidia kitu. Kwenye moyo wangu kuna sonona kubwa sana.
It's mo mp5 mtoto wa kanali mtata.
Sio ubishi, kwani nimekubishia ndgu??[emoji28] Sina degree ya ubishi.nilijaribu kuelezea nachojua Kwa uzoefu wangu naomba niishie hapa Kwa Sasa.
Hili tatizo ni kubwa apa jf kuliko tunavyoonaAisee, kulikoni ten na wewe?
Kaamua abadilishe na jina, anahofia mtamwambia aondoke tena.Hili tatizo ni kubwa apa jf kuliko tunavyoona
Halafu ndio maana huyu huwa anatuaga na haondoki amepumzika week karudi bora abaki tu jf ndio inayompa amani
Sasa wanatafutaje kiki jf na hatuwajui hatuwezi kumwambia aondoke asije akajiua bure ugonjwa wa akili ni tatizo kubwa sana Mungu atusaidieKaamua abadilishe na jina, anahofia mtamwambia aondoke tena.
Ila sometime nahisi ni kama wazinguaji tu, hasa ukiwafatilia nje ya nyuzi wanazoanzisha. Kwenye majukwaa mengine wapo kivingine [emoji2369][emoji2369]
Hii nimeliona BINAFSI mkuu!!Mafanikio ni kama maji yanayotiririka ,hayaji kwa utulivu ,yanakuja kwa kasi na yanamkusanyiko wa takataka nyingi,ndomana matajiri wanaongoza kwa kukosa amani na masikini wanaongoza kuwa na amani
Mind you own business madam...kwanini unakaza fuvu kwa kitu kilichopita ata Kama niliaga after work Kuna siku nakuwa free na log in Jf shida iko wapiHili tatizo ni kubwa apa jf kuliko tunavyoona
Halafu ndio maana huyu huwa anatuaga na haondoki amepumzika week karudi bora abaki tu jf ndio inayompa amani
Pole mkuu jitahidi kujichanganya na watu ili usifikie hatua ya kujiuaMind you own business madam...kwanini unakaza fuvu kwa kitu kilichopita ata Kama niliaga after work Kuna siku nakuwa free na log in Jf shida iko wapi
Sina Nia ya kujiua nitaacha simanzi kwa wanaonitegemea Ila sifurahii Aya maisha kabisa natamani siku zirudi nyuma Kuna mahali nikarekebishe na nisahishe makosa yangu...Kuna vitu vilitokea sio powa nimewapoteza niliokuwa nawahitaji wengine wako mbali na Mimi na wengine walishalala mazima..Pole mkuu jitahidi kujichanganya na watu ili usifikie hatua ya kujiua
Mungu akufanyie wepesi mkuu urekebishe ulipokosea ili uwe na amani ya moyoSina Nia ya kujiua nitaacha simanzi kwa wanaonitegemea Ila sifurahii Aya maisha kabisa natamani siku zirudi nyuma Kuna mahali nikarekebishe na nisahishe makosa yangu...Kuna vitu vilitokea sio powa nimewapoteza niliokuwa nawahitaji wengine wako mbali na Mimi na wengine walishalala mazima..
Tafuta watu uliwazidi kila kitu ndo wawe marafik zako kwa Sasa achana na marafik wenye kipato, elimu, majivuno, unaifanya nao kazi hii mbinu nilipewa na Og moja toka tailend inasaidia sana kuset ubongo na kuwa normal kabisa.
Fanya hivi tafuta new friends ambao umewazidi kila kitu...kuanzia elimu,pesa,mwenwkano,malengo hawa mara nyingi ni watu ambao wakikuzuunguka watafanya kila kitu ili uwe na fraha sana kwanza wacheshi,watajishusha kwako, watakusikiliza unataka nini, wapo really na maisha yao.
Naam Mkuu hiyo ndio kanuni ya Asili inavyofanya kazi na ukielewa hili hutaumiza kichwa kujiuliza kwanini hili au kwanini vile ,bali utakabiliana na hali na kutafta ufumbuzi na wakati mwingine ufumbuzi pekee unakuwa na kukubaliana na hali na kujifunza kuishi kwa hiyo hali na kuizoea, kila kitu kina gharama zake hapa duniani ni ww tu kuchagua kwamba gharama hizi nazimudu kuzilipa au laaa.Hii nimeliona BINAFSI mkuu!!
WAKATI umepata kazi umejijenga vizuri SASA unataka uishi vizuri then mambo ya hovyo yanatokea AISEH!!
Sala 5 kwa siku ndiyo mwisho wa matatizo.Hope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa.
Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja nawapenda sana na wao wananipenda sana mke wangu ni innocent girls
Baada ya kupata ushauri wa watu mbalimbali kuhusu hali yangu, wengi walinishauri nijichanganye kwenye groups za jogging au mijadala na niwe karibu na Mungu wangu, lakini haijanisaidia kitu. Kwenye moyo wangu kuna sonona kubwa sana.
It's mo mp5 mtoto wa kanali mtata.