Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
- Thread starter
-
- #21
Haya nenda kaangali ex ukajifunze mastaili.Ngono ni kwaajili ya kuzaliana...Na mungu alijua isingekuwa tamu watu msingetaka kuzaliana kukwepa majukumu...Hata familia zisingekuwepo bila utamu wa ngono
Inachekesha lakini hamna ukweli hapoNgono ni kwaajili ya kuzaliana...Na mungu alijua isingekuwa tamu watu msingetaka kuzaliana kukwepa majukumu...Hata familia zisingekuwepo bila utamu wa ngono
Ngono imeshika vichwa vya watu sana na imekuzwa kwa gharama kubwa..
Hadi sasa siijui ladha ya hiyo 'pussy" sijui ina sukari au chumvi nahisi ina chumvi maana nasikia eti kuna staili mnasema 'kuzama chumvini"hujui ladha ya pussy ww...
Kuwa makini Hawajasema 'NGOSWE NGONO KITOVU CHA UZEMBE" wamesema "penzi' Hiyo inaonesha jinsi gani ubongo wako unawaza ngono...Acha tu Mkuu Pale kati patamu NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE ,Namkumbuka mzee mitimingi na mazoea.
Umejuaje...haya mimi ni padri hapo inakuwajeNi pale mtu anapo pewa kibuti na mchumba ake, polee sanaa.
Kwani padri hana mchumba? Na kama ngono kwa ajili ya kuzaliana wee padri unaruhusiwa kuzaa? Na kama padri kweli habari za ladha ya ngono unaijuaje?Umejuaje...haya mimi ni padri hapo inakuwaje
Sijatoswa wala sijaachwa mkuu.Kwani padri haba mchumba? Na km ngono kwa ajiri ya kuzaliana wee padri unaruhusiwa kuzaa? Na km padri kweli habari za, ladha ya ngono unaijuaje?
Poleeeh sanaah
Ouk hiyo ni yako, ila usilete porojo hapa jamvini khaaah.Sijatoswa wala sijaachwa mkuu.
Sawa nisamehe bure mkuu.Ouk hiyo ni yako, ila usilete porojo hapa jamvini khaaah.
Ndo ukweli wenyewe... wewe unahisi ngono ingekuwa na maumivu na ingekuwa kama wajibu tu ili uzae.. nani angefanya? Wachache mno Dunia ingekuwa na watu mia nneInachekesha lakini hamna ukweli hapo
Hapa tunaongelea mapenzi au ngono?? Maana mapenzi Hata mtori naupendaHaya nenda kaangali ex ukajifunze mastaili.
mapenzi ni hisia...unampenda mama yako ila ufanyi nae mapenzi..
hata ukichepuka ukamwacha mkeo hutapata ladha unayoitafuta mpaka unakufa dhaidi ya kuambulia magonjwa,matatizo.
Hakuna aliesema ngono mbaya... ila ngono imekuzwa kuliko uhalisia wake.ndo ukweli wenyewe...wewe unahisi ngono ingekuwa na maumivu na ingekuwa kama wajibu tu ili uzae..nani angefanya?wachache mno Dunia ingekuwa na watu mia nne
Rejea kichwa cha habari.Hapa tunaongelea mapenzi au ngono??maana mapenzi Hata mtori naupenda
Sasa si ndo nashangaa kichwa kinaongelea ngono halafu wewe unaanza kuniambia habari za kumpenda mamaRejea kichwa cha habari.
Imekuzwa na nani?Hakuna aliesema ngono mbaya... ila ngono imekuzwa kuliko uhalisia wake.
Sija ku attack ila nimetolea mfano nami nashangaa umeshindwaje kuelewa.Sasa si ndo nashangaa kichwa kinaongelea ngono halafu wewe unaanza kuniambia habari za kumpenda mama
Tumia ubongo mkuu, mbona una maswali ya ajabu...?imekuzwa na nani?
Wabongo wakishindwaga maswali bana😩tumia ubongo mkuu mbona una maswali ya ajabu...?