Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wewe ni CAG?Hakuna hicho kitu bwashee.
Sanasana yumo boss wa bandari aliyetenguliwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni CAG?Hakuna hicho kitu bwashee.
Sanasana yumo boss wa bandari aliyetenguliwa!
Kwani kigogos ni CAG?Wewe ni CAG?
Nimekuuliza wewe Jo sio kigogoKwani kigogos ni CAG?
Hii nchi inaenda tu ilimradi, inawezekana ile ilikuwa danganya toto tu au mama amepoozwa tayariWadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
Hilo ni jini liko kwenye chupa,likifunguliwa litaweza hata kumdhuru aliyelifungulia. Ni hatari.Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
Hujui kitu. We kausha tu.VP hana tabia ya ubadhirifu acheni kumchafua!
Tena miezi iliyochunguzwa yeye alikuwa mgonjwa.
It was just execultive propaganda to win popularity.Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
Kigogo naye muda mwingine anachemka sana wakati pesa inapigwa BOT mpango alikuwa bado aja- recover kwanza aliyekuwa akiwasilisha budget ni MwiguluKama VP angekuwa anahusika Samia angemteua? yaani kwamba Samia alijua anahusika halafu akamteua hivyo hivyo then baada ya kumteua ndio akaamua kuunda kamati ya uchunguzi impe majibu ambayo tayari alishakuwa nayo? did this make sense?!
Hizi taarifa za kupata toka unrecognised sources japo wakati mwingine huwa za kweli lakini as a mentally sound person hazitakiwi kuaminiwa 100% hasa ikizingatiwa hasira aliyokuwa nayo Kigogo baada ya Mpango kuupata Umakamu na sio yale machaguo yake.
aani watu hawaelewi pesa alipiga Dotto na Bashiru hata Gavana aliingizwa chaka tu hao ndio wa kushugulikiwa.
Wakurungwa Wanatajwa Humo