- Thread starter
- #21
asante kwa ushauri wakoNi heri umkosoe Mungu kuliko mtawala utanyimwa haki ya kuishi.Acha wafu wazikane kumekucha shuka ya nn
asante kwa ushauri wakoNi heri umkosoe Mungu kuliko mtawala utanyimwa haki ya kuishi.Acha wafu wazikane kumekucha shuka ya nn
We unadhani mi ni sawa nawe buku 7, hao unaowasujudia huwa tunakutana tunaongea maswala nyeti ya nchiWewe acha kujikweza! Eti ulishauri!!
Bado sijajua unataka kuongea nini?
Yawezekana uwezo wako ni mdogo sana kuelewa mamboBado sijajua unataka kuongea nini?
Inategemea wewe ni CCM type gani?
Hili kwa upande mwingine Mzee Kikwete hayupo kwenye kundi la Wanufaikaji wa awamu hii ya tano. Kwani yeye na familia yake pamoja na ndugu wengine na wote waliokuwa karibu nae ndiyo maadui wakubwa ktk awamu hii.Hao wazee kwanza ni wanufaika wanatupiwa mifupa toka mezani familia zao zimehongwa teuzi,PILI wanaogopa uhujumu uchumi plus wanaogopa wasiojulikana,kumbuka wamekula sana keki hii hivo wao ni wafungwa huru.
Una uhakika na usemalo kuwa ccm kwa sasa iko imara?? Kwanini ktk awamu hii utumiaji wa vyombo vya dola umeshamiri kupita awamu zingine??Hiki
NDIO CHAMA KIPYA CHA MEMBE?
NAONA MNAANDIKA NA MNACOMMENT WENYEWE KWA ZAMU.
KAKA YAKO KIKWETE ALISHINDWA KUKUSAIDIA KABLA YA MAJI YA SHINGO PALE DODOMA, ATAWEZA LEO??
MAGUFULI YUPO KWA RIDHAA YA WAPIGA KURA,
WALIOKO CCM NA WASIOKUWA CCM,LAKINI PIA WASIOKUWA NA ITIKADI ZA CHAMA CHOCHOTE KILE CHA SIASA.
WEWE MEMBE KWA YEYOTE ALIESKILIZA ILE CLIP YAKO NA NAPE,
TULIZIDI KUKUPUUZA NA HATA MARAFIKI WAMEKUPUUZA,NDIO MAANA HATA SIMU ZIMEPUNGUA KWA 67%
ACHA KUWEWESEKA NA JINAMIZI LAKO WENYEWE.
Wewe naye ni mshamba flani kutoka lindi uliyebebwa kisiasa na ukalewa mbeleko ya kaka yako.
Huna historia yoyote ile ya ukomavu wa uongozi na itikadi za CCM zaidi ya kujenga mitandao ya makundi ndani ya chama kwa nguvu za kifisadi kwa kutumia ujinga na umaskini wa unaowatumia.
CCM IPO IMARA KULIKO WAKATI WOWOTE NDANI YA MIAKA KUMI ILIYOPITA.
TATIZO LA CCM ILIKUWA HII MITANDAO YENU, AMBAYO KWA SASA NI HISTORIA.
JPM HAKUWATIZAMA USONI.
NA HIKI NDIO KILIO CHA JIWE LA GIZANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ni CCM naangalia for future taifa litakuwaje na chama hakitaaminika kwa wananchi kwa ujumla...Inategemea wewe ni CCM type gani?
Kama ccm mazoea lazima ikupe tabu.maana mfumo ule wa kampeni zama za ulaji sasa kwishney.
Na ninadhani baada ya 2020 mambo yatabadilika kabisa.
Watu watarudi kwenye taaluma zao, na hutakuta doctor anaacha u doctor na kuja kuwa polutician!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitakuomba msahama na wala usitegemee, mimi sijakejeli siasa au chama, nitaendelea kupinga Uongo, Unafiki na siasa za maji taka, Erythrocyte we ni mmoja wapo wa watu wanaotumia uongo kuhada watu.Wewe ni miongoni mwa wanaccm waliotukejeli sana tulipokosoa unyama unaotendwa awamu ya 5 , nadhani sasa umetambua kwamba hatukuwahi kukosea , ni vema kabla ya yote ungetuomba radhi kwanza
Ikiwa kama sisi tunayoyaandika mara zote ambayo ndiyo unayoyalalamikia hapa ni uongo , sasa uhalali wa uzi wako ni upi ? Tulishasema kwamba shetani hana rafiki , wameguswa jamaa zako unatafuta msaada wa wastaafu , lakini alipouliwa Lissu Dodoma ukaona hayakuhusu !Sitakuomba msahama na wala usitegemee, mimi sijakejeli siasa au chama, nitaendelea kupinga Uongo, Unafiki na siasa za maji taka, Erythrocyte we ni mmoja wapo wa watu wanaotumia uongo kuhada watu.
I will never support politics of cheating or lies even if done by my party.
Sent using Jamii Forums mobile app