Iko wapi Tanzania yangu? Ipo wapi CCM yangu; wapo wapi wazee wangu wenye dhamana ya chama na nchi yangu?

Tumuuguze Kwanza mzee Marcella, haya mengi tumuachie mwenye Nchi maana ni mteule kutoka mbinguni. Nawaza kwa sauti ya polepolešŸ˜‚
Wewe, huyu Marcella ni nani?
Kuna waziri mkuu na makamu wa kwanza rais wa zamani, ndugu John Malecela. Ulimaanisha huyo? Embu tuwe makini kidogo, angalau andika majina yote hata kama ni ndugu yako tunaweza mkumbuka.
 
Jiandae hata kujifunza kulima mchicha ndugu yangu ushauri wa bure ili usife njaa siku ccm ikifa usiishi Kwa kutegemea ccm ya kesho uyajui,nani amewahi waza kuna siku ndege zitakosekana kuja Leo wategemea ndege wanalia njaa sababu ya corona. Hata wanufaika wa KANU awakuamin
Kwa taarifa yako mimi ni all weather! Kama ubongo wako unafanyakazi utakuwa umeelewa lakini kama ni ubongo wa pimbi basi tena!
 
We unadhani mi ni sawa nawe buku 7, hao unaowasujudia huwa tunakutana tunaongea maswala nyeti ya nchi
Hahahahaha kumbe tunakuwaga wote! Haya boss wangu! Basi nikirudi Dar nitakutafuta au tupo wote huku?
 
Ikiwa kama sisi tunayoyaandika mara zote ambayo ndiyo unayoyalalamikia hapa ni uongo , sasa uhalali wa uzi wako ni upi ? Tulishasema kwamba shetani hana rafiki , wameguswa jamaa zako unatafuta msaada wa wastaafu , lakini alipouliwa Lissu Dodoma ukaona hayakuhusu !

Aliyezoea kula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE .

Leo ni ndugu zako , juzi ni Membe na Kinana , kesho ni wewe , mara zote tumeandika ukweli humu jf lakini kwa vile hayakukugusa ukaona ni uongo .
Nikisema wewe ni muongo, sio muongo tuu, bali pia uu mnafiki.
Lissu alipopigwa Risasi, hilo lilinigusa na nilipinga uhalifu huo, na nilichangia matibabu yake mara mbili. Alipopotea Ben Saanane, nilikuwa mmoja wa waliotaka ukwele ubainishwe na hadi kesho nina imani hapo haki imefichwa. Hivi majuzi viongozi wa chama chako walipolipizwa fain nimetoa mchango wangu tena nikiwa safari kikazi njee ya nchi.

Ninafanya hivyo na huku ninawapinga mengi mnayofanya yasioyostahili, haimaanishi hatuko pamoja kisiasa au mtazamo, basi hatuko pamoja kama watanzania au watu ndugu wanaishi pamoja , huo sio msimamo wangu. Ukiwa unashulumiwa haki yako na ndugu yangu nitakupigania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama yote haya tuko pamoja , uongo wangu unaousema ni upi ?
 
Wewe, huyu Marcella ni nani?
Kuna waziri mkuu na makamu wa kwanza rais wa zamani, ndugu John Malecela. Ulimaanisha huyo? Embu tuwe makini kidogo, angalau andika majina yote hata kama ni ndugu yako tunaweza mkumbuka.
Hebu subiri watangazwe waliompa sumu, haya ulio unayouliza sio muhim saiz!!
 
Mkuu Mkirindi.

Nimekusoma baadhi, nitamaliza mengine baadae.

Umelia sana juu ya chama chako.

Lakini umesahau kitu kimoja unapowalilia hao wazee wasaidie.

Wazee hawana njia ya kusaidia chochote.

Mzee kama Kikwete, atafanya nini na mafaili yake yote yalishasomwa, na hata pengine kutahadharishwa asithubutu kufanya lolote!

Wewe huoni akina Kinana walipofikishwa...; hivi hujui kusoma alama za nyakati?

Mzee Mwinyi usimlaumu bure. Mbali ya mafaili, anaye kijana mwenye matumaini. Unataka aharibiwe matumaini yake?

Mkapa CCM hii anaipenda sana. Inawezekana hata ukasema huenda ndiye injinia wake mkuu.

Sasa sijui kabaki nani huko. Akina Msekwa ni wapiga vigelegele tu kwa yeyote mradi matumbo yao yamejaa.

Siwezi kumlaumu Warioba, Butiku, na baadhi ya wengine, kwa sababu hawana namna ya kubadilisha chochote.

Kwa hiyo mkuu 'Mkirindi' CCM hii mpya ndio hiyo. Achana kabisa na kumbukumbu ya ileeeee ya Mwalimu Nyerere.
Hiyo walishaivuruga, hata hao wazee unaowalilia sasa.
 
CCM ilishaacha siku nyingi kuongoza serikali.
Maelezo ya katibu wa chama ya hivi karibuni ni majibu tosha kwa maswali yako.
 
Mkuu Mkirindi.

Nimekusoma baadhi, nitamaliza mengine baadae.

Umelia sana juu ya chama chako.

Lakini umesahau kitu kimoja unapowalilia hao wazee wasaidie.

Wazee hawana njia ya kusaidia chochote.

Mzee kama Kikwete, atafanya nini na mafaili yake yote yalishasomwa, na hata pengine kutahadharishwa asithubutu kufanya lolote!

Wewe huoni akina Kinana walipofikishwa...; hivi hujui kusoma alama za nyakati?

Mzee Mwinyi usimlaumu bure. Mbali ya mafaili, anaye kijana mwenye matumaini. Unataka aharibiwe matumaini yake?

Mkapa CCM hii anaipenda sana. Inawezekana hata ukasema huenda ndiye injinia wake mkuu.

Sasa sijui kabaki nani huko. Akina Msekwa ni wapiga vigelegele tu kwa yeyote mradi matumbo yao yamejaa.

Siwezi kumlaumu Warioba, Butiku, na baadhi ya wengine, kwa sababu hawana namna ya kubadilisha chochote.

Kwa hiyo mkuu 'Mkirindi' CCM hii mpya ndio hiyo. Achana kabisa na kumbukumbu ya ileeeee ya Mwalimu Nyerere.
Hiyo walishaivuruga, hata hao wazee unaowalilia sasa.
Toa ushauri wako basi kwani MKIRINDI anachokilalamikia sio anguko la ccm tu bali ni hali ya siasa ilivyo hivi sasa nchini. Taifa lililokuwa na umoja hivi sasa limegawanyika kwa itakadi za vyama ukanda udini na hata ukabila.

Hata ukiangalia comments nyingi za wachangiaji humu JF ni wazi huchangiwa kwa itikadi za vyama na si kwa maslahi ya Taifa letu. Walio wengi humu jamvini huangalia jina tu na kuipa LIKE bila kuisoma na kuichambua hoja. Watu hufahamiana humu kwa misimamo yao juu ya vyama vyao. Mf mrahisi tu tizama suala la Mh Lissu liko wazi kapigwa risasi kwa nia ya kumtowesha Duniani. Lkn cha ajabu wako watu wanaojitoa ufahamu kwa kutoa comments za ajabu.

Hayo yote muanzilishi na mnufaikaji mkubwa wa mgawanyiko huu sote tunamjua ila kwa unafiki uliowatawala hawako tayari kusema kweli. Sasa hao ndiyo MKIRINDI anajaribu kulitafitia dawa kupitia kwa hawa Wazee Wastaafu.

Nimeifurahia point yake moja aliposema huyu Mzee hashauriki wala hana shukurani kwani hapo kanikumbusha kina Nape na January waliofunga goli la mkono. Wengine ni Mwigulu hasa kwenye sakata la kina Ben Saanane. Kangi Lugola na sakata lake la Prof Mussa Asard (CAG) eti yuko tayari kuvua nguo Bungeni. Yako mengi na ndiyo maana kila wakati tunasema Mzee kajiongezea maadui wengi ndani ya chama chake mwenyewe.

Ndugu Halaiser, asante kwa msimamo wako, Ndugu Watanzania wengi tusilolijua au tunalolifumbia macho ni kuwa Hii Tanzania ni yetu sote, na sio ya Magufuli, Mbowe, Zitto ama Maalim Seif, hawa wote ni vibarua wetu, na tukitaka ukweli wanankuwaga very very weak tunapokuwa wamoja , hawana nguvu zaidi yetu tukiwa tumeungana. Kuungana sio lazima kwa kila tunamsimamo mmoja kwenye kila kitu, tunaweza ungana kwenye mambo muhimu ya kitaifa.

Kama ule upungufu kwenye Korosho, ukandimizaji usiokuwa na haki au wa aina yoyote. Lissu kupigwa risasi bila uchunguzi kufanyika, maiti zilizookotwa baharini na hadi leo hakuna lijulikanalo, na mengine mengi.

Tusijidanganye hao wastaafu wakisimama kidete kutaka kusawazisha mambo, watasikizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ushauri wako basi kwani MKIRINDI anachokilalamikia sio anguko la ccm tu bali ni hali ya siasa ilivyo hivi sasa nchini. Taifa lililokuwa na umoja hivi sasa limegawanyika kwa itakadi za vyama ukanda udini na hata ukabila.
Ninakubaliana nawe kwenye haya, na historia ya michango yangu humu JF itajisimamia yenyewe kuonyesha msimamo wangu.

Tutaendelea kuyajadili haya, kwa sababu hatuna namna nyingine. Hili ni taifa letu.
 
Back
Top Bottom