Iko wapi Tanzania yangu? Ipo wapi CCM yangu; wapo wapi wazee wangu wenye dhamana ya chama na nchi yangu?

Kwa taarifa yako mimi ni all weather! Kama ubongo wako unafanyakazi utakuwa umeelewa lakini kama ni ubongo wa pimbi basi tena!
[/QUOTE
Mbona unaumizwa na kitu mfu kilichoshakufa,ss wengine mfumo wetu hauathirik na uwepo au kutokuwepo Kwa vyama
 
Naomba nikukumbushe tu, Tanzania ya Magufuli yeye ndiye dereva na hakuna mtu alimsaidia kuchukua fomu ya urais na kushinda hivyo hatamsikiliza abiria. CCM ya Magufuli siyo ile mliyoizoea na nyie subirini wakati wenu ukifika mtafanya yenu lakini kwa sasa CCM ya Magufuli haiwezi kushirikiana na Corona na Chadema.
 
Endelea kumsifia ukifikiri kila wakati mtutu wa bunduki utasaidia. Kuna leo na kesho kejeli ni jadi yenu. Lakini kikishawafika ninyi ninyi ndiyo mnaokimbilia neno uzalendo kwenye nchi.

Hebu fikiria kama kila Mtanzania angekuwa na mawazo kama yako nini kingetokea zaidi ya kila mmoja kubeba silaha ili kujilinda.

Taifa hili linaangamia kwa kukosa maarifa. Na wanaolikosesha maarifa ni watu wachache wachumia tumbo kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli haimiliki CCM wala Tz, CCM ndio iliyompa nafasi, na form alipeqa maagizo na Kikwete akachukue form, mwanzoni hata yeye mwenyewe hakujiamini, ila alijengewa moyo na Kikwete na akina Kinana.

Hakina mtu mwenye hati miliki na nchi hii, wacha fikra za kichawi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ww n nyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidii ya Kununua watu lengo ni kupata ccm tumbo,watu watakaoangalia tumbo hata katiba ikibadilishwa kwao poa maadamu maslai
 
Kapinge mawazo ya mwenyekiti yakukute ya mangula ndo utajua who own ccm
 
Mlipoambiwa ni hatari Kwa makabila makubwa kupewa leseni ya udereva watapendeleana wao Kwa wao mliweka pamba masikioni huku mkiimba wataisoma namba hamkujua kwamba vidole vingine vyawaelekeeni nyie?Kila MTU atamuelewa tu Lis

Sikubaliani na wewe hili la kusema makabila makubwa wasipewe leseni ya udereva kwani watapendelea kwao; mapungufu yote yanayolalamikiwa wakati huu wa uongozi wa JPM ni kutokana na dosari zilizomo kwenye katiba ya nchi yetu. Mwalimu aliliona hili angali bado ni Rais na alidiliki kusema kuwa katiba yetu ilikuwa inampa RAIS powers kama vile ni MUNGU mtu; na akaonya kuwa siku nchi itapata kiongozi ambaye ni mwenda wazimu wananchi wangepata taabu sana.

Majaribio ya kurekebisha dosari katika katiba yetu yalijaribiwa kwa kuundwa tume ya KATIBA iliyoongozwa na Warioba lakini haikufanikiwa kumaliza kazi yeke kwani watawala waliona kuwa ile rasimu ya katiba iliyopendekezwa ilikuwa inawapiga pini sana katika kulinda maslahi yao hivyo ikapigwa chini!!! Kikwete hatasamehewa na waTanzania maisha yake yote kwa dhambi aliyofanya ya kusabotage exercise ile ya Watanzania kupata katiba yao. Suluhisho la mapungufu ya kiutawala yatakwisha pale tu zoezi la kupata katiba iliyopendekezwa na wananchi litakapo kamilika..
 
Wanajua umuhimu wa katiba wakishakuwa nje ya mfumo na sio ndani ya mfumo.Leo makamba hawezi yarudia Yale maneno ya atawabatizeni kwa moto.Wakiwa madarakani huwa ni vipofu na upanda miba njia awajui kesho watapita njia hio hio.Leo Membe,Lowasa, sumaye,mkapa eti wanaimba wimbo wa katiba mpya hali walikuwa na nafasi ya kuleta mabadiliko walitegemea kila siku ni jumapili.Nyerere ndie wa kulaumiwa kwa kuicopy katiba hii mbovu bila kuwashirikisha wananchi. Yapo makabila ni maalumu kwa kazi za kutumia nguvu na sio za reasoning so ukimix hivi vitu ni lzm mambo yaende mrama hata ukistudy kuhusu mfumo wa colonial administration utaona jamii ipi ilikuwa kwa ajili ya kazi za kutumia nguvu na zipi za kutumia reasoning.
 
teke la punda anaekata roho la yule katibu mkuu msitafu wa zamani aliyetimuliwa!!
 
katiba katiba katiba! Hivi hujui kuna nchi zinaenda bila katiba! Magu ni rais bora sana…na ni mwendawazimu tu ndie anaweza mwita kwa jina ulilomfananisha nalo!
CCM rejects na mafisadi mtakoma, mlizoea kuvuna msichopanda, sasa kulima na kupanda wenyewe mnapata taabu sana!
 

Hao wazee wote hawakuwahi kukubali katiba mpya, JK alijaribu kwa shinikizo la upinzani lakini hakuwa na ushawishi wa kutosha. Hivyo hawana lolote wanaloweza kufanya hivi sasa zaidi ya kuwa watazamaji, au wasifie kinafiki.
 

Uchaguzi sasa hivi unanajisiwa kimachomacho, mbona hutajaona mwanaccm yoyote akipinga tabia hiyo hadharani?
 
What a great thinker!
 
and you too a great thinker?
Mjitahidi sana kuweka kumbukumbu za maneno na matendo ya viongozi.
 
Sijamuona kati yao mwenye uwezo au ujasiri wakumkosoa muheshiwa rais, kila mmoja kuna udhaifu mkubwa aliuonyesha kwenye utawala wake. Sitaki kuorodhesha madhaifu. Kama wao walivyotawala na kupita Naye huyu mwache atawale apite. Nchi kupita mikononi kwa watawala tofauti tofauti ndiko kunakoleta uzoefu wa kuelekea kwenye hali kusimama kama taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…