Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...

Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.

Kushindwa kutambua Gwajima alikuwa akimtetea yeye kwa kuwakana wafiraji, watekaji na wauwaji, kwa kujua au kutokujua, ni jambo la kushangaza mno!

FB_IMG_17488591375144467.jpg

Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine hamuioni fyongo ya wazi hiyo ndugu zangu?
 
Sasa maprofesa masisiemu na hao kina stivu tofauti yao iko wapi? Hivi kwamfano mkuu Kalamaganda au wale maprofesa wa Nakinikia na matrilioni tofauti yao ni ipi na kina Jaku boy?
 
Mimi nadhani anajihujumu mwenyewe kwa kukubali kuzungukwa na wahuni, fisi wenye njaa, na pia kundi la mbwa mwitu wakali.
CCM ina watu wakubwa hata wangepanga asiwe rahisi asingegusa ,waliona ni rahisi kumtumia ,yuko pale kwa kulazimisha na atazidi kulazimishwa kugombea tena ...Magafuli alijitahidi kuvunja genge ila hakuliweza.

Raisi hajui chochote kinachoendelea ,hii nchi kubwa na wajanja ni wengi sana .
 
Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...

Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
Maneno anayotoa nayo wanamuwekea mdomoni?
NO REFORM NO ELECTION
 
Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...

Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
unamaanisha wale magraduate wa Community Concern Training Institute ni zaidi ya Maprofesa
 
Kushindwa kutambua Gwajima alikuwa akimtetea yeye kwa kuwakana wafiraji, watekaji na wauwaji, kwa kujua au kutokujua, ni jambo la kushangaza mno!

View attachment 3359195

Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine hamuioni fyongo ya wazi hiyo ndugu zangu?
huenda huyo muungwana ni mzoefu ya huo uchafu anaoelezea maana anaweza hata kukaa na kutembea vizuri tu licha ya kua inserted object kwenye kijambizi chake, dah,

cha kushangaza kijambizi hakitoi machozi lia macho. Drama bana ni ngumu sana aise :NoGodNo:
 
Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...

Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
Ccm ni zero brain pia
 
Kwa zile kauli zake unapata wapi akili za kusema kusa anaujumiwa
 
Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...

Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
No Reforms, No Elections.
 
Kifo ni kifo tu.
Gwajimalization
Wwmeharibu kwao wanataka kuharibu na kwetu

Hizo zote ni kauli zake, Sasa kama anahujumiwa basi na kinywa chake
 
Back
Top Bottom