Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.
Ipo kazini.
Kama raia wageni ni hivi?
Kina Mdude watakuwa salama waliko?
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuild.
Ipo kazini.
Wala hahujumiwi na ukitaka kujua hahujumiwi sikiliza speech zakeHuu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...
Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
Hahujumiwi na mtu yeyote; yule Bibi kwa wanaomjua vizuri ni muhuni tuu ndo maana kuna watu walitaka kupindua meza ili asiapishwe kumrithi Jiwe; hawakurajibu kufanya vile kwa bahati mbaya, walijua janga tunalochuma.Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...
Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
Anajua kinachoendelea, hamna hujuma.Hata mimi nilikuwa naona kama mana wana mhujumu lakini kwa kauli zake uwezi kumtetetea kabisa.
Dah!unamaanisha wale magraduate wa Community Concern Training Institute ni zaidi ya Maprofesa
Kwani yeye hana akili ya kujua jema na baya? Hakuna naemhujumu,hiyo ndio rangi yake halisi naa uwezo wake wa kuongoza umeishia hapoHuu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao...
Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na serikali ni dharau kubwa kwa wapiga kura. Yaani maprofesa na wanazuoni wengine hawapo CCM hadi chama kiwatumie zero brain? Hii ni hujuma ya wazi kwa uongozi wa mama.
Hivi huyu bibi Faiza foxy yupo wapiKwa kuwa wahujumu wanajulikana, ni hawana akili tu.