Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

Wala hahujumiwi na ukitaka kujua hahujumiwi sikiliza speech zake
 
Hahujumiwi na mtu yeyote; yule Bibi kwa wanaomjua vizuri ni muhuni tuu ndo maana kuna watu walitaka kupindua meza ili asiapishwe kumrithi Jiwe; hawakurajibu kufanya vile kwa bahati mbaya, walijua janga tunalochuma.

Lakini kwa sasa NO REFORMS NO ELECTION!!
 
Umewaza mbaali, wakata viuno na walamba lips waje na hoja itakuwa tunajidanganya, amkeni, tusikate tamaaa tuwakatae chawa wote,
No Reforms No Election
Free tundu lissu
 
Kwani yeye hana akili ya kujua jema na baya? Hakuna naemhujumu,hiyo ndio rangi yake halisi naa uwezo wake wa kuongoza umeishia hapo
 
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Mama anahujumiwa kupitia mauaji ya raia. Wanamchafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…