Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atawapa akiwa anaondoka ukumbini sema wewe hujui protocol za kiserkal umezoea maandamano na maji mkononi
Alioua Zanzibar wachache?Amesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
wangapi?Alioua Zanzibar wachache?
Kama ametaja ndege za TANAPA huyo atakuwa Hamisi.La kusikitisha ni kuwa JPM alifika Nzega na kumpigia debe Hamisi achaguliwe tena wakati alijua Hamisi ametumia mali ya umma vibaya.Hapo sasaWakuu...
Ebu naomba wajuzi mkuje tuichambue hotuba ya Rais JPM aliposema yafuatayo:-
1. Kuna mmoja alikua akitumia ndege za TANAPA kwenda kwela starehe (nahisi ni Dr Hamisi)...
Mfalme Daudi aliua maelfu kwa makumi elfu, na bado Yesu Kristo aliitwa mwana wa Daudi, kwa kuwa alitekeleza vyema majukumu yake pale ilipompasa kufanya hivyo. Sheria kama inatoa adhabu na utekelelezaji wa hukumu ya kifo.Amesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
Yeye anasaini, hakuna muuaji bali ni sheria, ndiyo maana tunasema hii nchi inahitaji maombi.Amesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
Ndiyo, na wale majambazi waliomuua Dkt Mvungi kwa kumpiga risasi, wapo 5 na wamesamehewa.hapa nawaza tu, mfano yule mama aliyewapa sumu watoto wake wawili na kuwauwa kisa ugomvi na mume wake ahukumiwe kunyongwa alafu aachwe kwa msamaha wa rais
Yu wapi Ben Saanane?Amesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
Ndio uraisi huo aliokua anauombaAmesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
Kama ametaja ndege za TANAPA huyo atakuwa Hamisi.La kusikitisha ni kuwa JPM alifika Nzega na kumpigia debe Hamisi achaguliwe tena wakati alijua Hamisi ametumia mali ya umma vibaya.Hapo sasa