Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ummy mwalimu uko wapi
 
Kwa mujibu wa 'sensa' ya mwisho uliyoifanya ya wasomi wakristo walikuwa wangapi na waislamu wangapi?
 
Cheo ni dhamana tu ndugu zangu...
Cheo anatoa binadamu ila KIBALI anatoa Mungu Mwenyezi.....

Waheshimiwa akina Dr.Kigwangallah na dada Shonza walipata nafasi...wakatutumikia....
Mwenyezi Mungu katoa kibali kwa wengine kwani ninaamini wako waliodhani kaka mkubwa Ridhiwani naye atapata.....ila amekwenda kupata kaka Pinda....

Mh.Rais alishasema kuna wabunge WENGI...na anaweza kufanya RESHUFFLE kwa mawanda hayo mapana.....


MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Katika baraza hili lenye mawaziri 23 kwa haraka haraka
-Wanawake 4 (wanaume 19)
-?Waislamu 2 (?Wakristo 21)
-Mchaga 1 (Wasukuma 5+)
-Mzanzibar 0 (watanganyika 23)

We we shida yako ni udini - sijui mkoje lawama tu mwanzo mwisho! Kwani Waziri mkuu na makamu wa Rais madhehebu yao ni yapi,je, mnataka wakristo nao walalamike kwamba hakuna aliye teuliwa kwenye nyazifa za ngazi za juu Serikalini??Punguzeni malalamiko yasiyo na tija.
 
Mizengwe mingi, na sasa hivi wameingiza uccm kwenye timu hizo mbili, ndio kabisa wameharibu.
Mkuu kwani ni lini timu hizo ziliacha kuegemea upande wa CCM?!!

Ama wanauingiza UCCM ndani ya pitch ya KUCHEZEA?!!
 
Katika wizara 23 waislam ni watatu tu na hakuna mzanzibar hata mmoja hii kiboko, akina yakje mko wapi? Mohamed Said na JokaKuu
 
duu...isack kamwelwe, japhet hassunga,, kigwangala mbona watalia sana..halafu Zungu nae ndo hata hajaufaidi vizuri uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…