Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Bora huyu JIWE kuliko hilo shetani Tobo Likisu lolilotamka bayana nia yake ya kuiuza nchi yetu kwa wazungu. Litalaaniwa na kuwa dumped kama Morgan Tchangirai, very stupid guy ! Unadhan wazungu wana maana ! Huyo sheikh Ponda aliesababisha uvunjwaji wa mabucha ya nguruwe 2001 😳 Hovyo kabisa !
 
Kwani.makabila ni hayo tu mawili sukuma na Chaga? Mbona wabende hatuna mtu hapo hata aliyekuwepo hapo nyuma kafurushwa? [emoji23] Lakini tumetulia?
Hii hoja ya kikabila na kuingiza wachagga ni chuki tu hivi uwaziri wa mtu na kabila lake unaondoaje umaskini?
 
Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Leo umeonyesha jinsi JF ilivyobeba watu wajinga wanaoongozwa na mihemko kama nguruwe! Kuanzia leo naanza kufuatilia michango yako hapa jamvini, si kwa ubaya kuna kitu najifunza kutoka kwako. Naomba usibadili ID hii!
 
Motivational speaker wametuamuru tu dream big kaka 🀣
.....it might be most of them are "deluded" and you then put yourself in the delusion....🀣

Life is really..

Sote tulipokuwa vyuoni tulikuwa hivyo.....🀣
Ukija URAIANI na kuishi 5 to 10 years post University years unauona sasa UKWELI WA MAISHA...🀣🀣
 
Hata kama makamu wa rais na waziri mkuu kama ni waislamu lakini huu uteuzi wa baraza la mawaziri ni wazi ulizingatia udini. Hii haikutokea kwa bahati.
 
Katika mawaziri wote na manaibu wao waislamu ni takriban 3% tu. Na ukiacha wizara muhimu kama TAMISEMI na fedha hata hao waislamu kidogo wametupwa kama kwenye wizara kama za sanaa, muungano na mazingira!
Hii hoja ya udini na ukabila haina mashiko though napenda equal representation kwenye uongozi
 
Ona huyu naye, haki ya nani ubora wa if unaharibika ndugu zangu,
 
Kigwa??πŸ€”πŸ€”
Tamaa imekuponza ndugu,jiwe hataki wambea wanaotaka urais πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili Baraza ni la 'kuoteshwa' na si la kushauriana na yeyote. Hakuna Mtanzania yeyote, asiyekuwa yeye, angetoa ushauri kama hu!
 
Hapa wameteuliwa afadhali wale waliokuwemo mara ya kwanza.Magu hadi anamaliza uraisi 2025 kutokuwepo na sura mpya ndani ya baraza la mawaziri by 60%.Bashe ataukwaa uwaziri kamili very soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…