Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hiki kimya cha kusuhu Bashite kinaashiria nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora huyu JIWE kuliko hilo shetani Tobo Likisu lolilotamka bayana nia yake ya kuiuza nchi yetu kwa wazungu. Litalaaniwa na kuwa dumped kama Morgan Tchangirai, very stupid guy ! Unadhan wazungu wana maana ! Huyo sheikh Ponda aliesababisha uvunjwaji wa mabucha ya nguruwe 2001 😳 Hovyo kabisa !Naona ameteua parokia 98%
Sasa hapa wale Masheikh wa CCM ndo wajue kuwa Ponda ana akili sana na aikuwa anajua anapigania nini kumuunga mkono Lissu!
Lissu asingekuwa mdini kama Jiwe, Jiwe ana chuki kali sana kwa waislamu ila anajua namba ya kucheza na Masheikh jina akina Alhadi kucover nyendo zake!
Hii hoja ya kikabila na kuingiza wachagga ni chuki tu hivi uwaziri wa mtu na kabila lake unaondoaje umaskini?Kwani.makabila ni hayo tu mawili sukuma na Chaga? Mbona wabende hatuna mtu hapo hata aliyekuwepo hapo nyuma kafurushwa? [emoji23] Lakini tumetulia?
Leo umeonyesha jinsi JF ilivyobeba watu wajinga wanaoongozwa na mihemko kama nguruwe! Kuanzia leo naanza kufuatilia michango yako hapa jamvini, si kwa ubaya kuna kitu najifunza kutoka kwako. Naomba usibadili ID hii!Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Waliogopa wakadhani ukafiri, katambi Ana elimu kubwa kuliko kigwangala na Dr mtei?Waislam wengi hawajaenda shule. Huo ndio ukweli japo mchungu.
.....it might be most of them are "deluded" and you then put yourself in the delusion....🤣Motivational speaker wametuamuru tu dream big kaka 🤣
Hata kama makamu wa rais na waziri mkuu kama ni waislamu lakini huu uteuzi wa baraza la mawaziri ni wazi ulizingatia udini. Hii haikutokea kwa bahati.We we shida yako ni udini - sijui mkoje lawama tu mwanzo mwisho! Kwani Waziri mkuu na makamu wa Rais madhehebu yao ni yapi,je, mnataka wakristo nao walalamike kwamba hakuna aliye teuliwa kwenye nyazifa za ngazi za juu Serikalini??Punguzeni malalamiko yasiyo na tija.
[emoji16][emoji16][emoji16]kigwa ameliwaKwaiyo dakitare kigwangala ajue ajui au... mtoto wa Pinda nlishamwona Pita kamtengenezea sana linki kama mwinyi na mwanae
Unadhani Kigwa atalalaKuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.[emoji2955]
Hii hoja ya udini na ukabila haina mashiko though napenda equal representation kwenye uongoziKatika mawaziri wote na manaibu wao waislamu ni takriban 3% tu. Na ukiacha wizara muhimu kama TAMISEMI na fedha hata hao waislamu kidogo wametupwa kama kwenye wizara kama za sanaa, muungano na mazingira!
Ona huyu naye, haki ya nani ubora wa if unaharibika ndugu zangu,bora huyo utendaji wake una julikana na anajulikana kabisa bila shida yoyote ile plus CV YAKE TUNAIJUA VYEMA KABISA ,sasa huyo mhhhh haa hatumjui vipi CV yake ??? au kisa mke wa ASKOFU RASHID ?? ASEEEEE MODS huu uzi msiufute natamani TISS wamwonyeshe bila shida .
Bashe yupo?Msemaji wa ikulu Gerson Msingwa ametwiti muda huu kuwa mh.rais atafanya uteuzi live kutoka ikulu ya chamwino
Fuatilia unaweza ukawepo kwenye list
Wait for more updates
USSRView attachment 1642299
Toa fact ya statistics sio unaongea maneno ya mtaaniWaislam wengi hawajaenda shule. Huo ndio ukweli japo mchungu.
Sio kweli!Waislam wengi hawajaenda shule. Huo ndio ukweli japo mchungu.
Italeta vurugu sanaMara paaa Peter Msingwa ubunge wa kuchaguliwa na Rais