Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

[/QUOTE]
jenista kawa waziri mkuu?

hongera kwake, sasa MAJALIWA anakwenda wapi?
 
hivi
[/QUOTE]
hivi hiyo nambari 4 ni kweli au utani
 
Hongera sana swahiba comrade Patrobass P.Katambi.....you really deserves Kaka....

Uko charismatic, zealot n dedicated....

MAENDELEO HAYANA VYAMA
kwenye meno ajitahidi hata kuswaki basi, ushauri wa bure na siyo kijiba cha roho
 
Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
 
Aende twitter tu akatafute uwaziri kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ