Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Note:mh elias john kwandikwa,tegemea makubwa kutoka hapa 2025 🤔🤔
 
Luaga Mpina alokuwa waziri wa mifugo na uvuvi na kipenzi cha Magu cjui kimetokea nn!
 
Wizara ya habari na wizara ya teknolojia ya habari mbona ni kitu kilekile au mi ndio sjaelewa
Ndiyo hiyo hiyo ila panga limenolewa zaidi kuwala wakorofi mnaoshinda mtandaoni.
 
Leo umeonyesha jinsi JF ilivyobeba watu wajinga wanaoongozwa na mihemko kama nguruwe! Kuanzia leo naanza kufuatilia michango yako hapa jamvini, si kwa ubaya kuna kitu najifunza kutoka kwako. Naomba usibadili ID hii!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hili baraza alikua na uwezo wa kulitangaza siku ya pili baada ya kuapishwa. Nothing new🤒🤒🤒🤒
 
9 November 2020

UCHAMBUZI: KUELEKEA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI/ HAYA NDO YANAYOTEGEMEWA

Kwa kweli tuna haja ya Katiba Mpya kabla mambo hayajaharibika Zaidi. Huyu awe rais wa mwisho kuwa na madaraka makubwa namna hii, vinginevyo nchi itachafuka. Zaidi ya Tume Huru ya uchaguzi, kukubaliwa mgombea binafsi…...Braza la Mawaziri litangazwe tu bada ya kupitishwa na bunge (huru).
 
Juma Aweso, Ummy Mwalimu, Suleman Jaffo hao ni wakristu pia? Katika wabunge wote angalia ratio ya wakristu na Waislamu utapata jibu.

Waislamu Kuna kitu huwa hamtaki kukubali kuwa swala la elimu dunia hamkulipa kipaumbele toka zamani, wenzenu wakristu walienda sambamba elimu ya dini na elimu ya dunia. Kwa Sasa Waislamu ndo mmekuwa na mwamko wa elimu ya dunia wakati wakristu tayari wamepiga hatua kubwa. Kwa hiyo itachukua muda mrefu kuziba hilo pengo na kuwa na uwiano sawa wa wasomi.

Kwa hiyo kwa Sasa usitegemee kuwe na uwiano sawa katika uongozi ilihali hakuna uwiano sawa wa wasomi Kati ya Waislamu na wakristu.
Hata hivyo wakristo ni wengi kuliko waislam,sasa huo uwiano utatoka wapi.hats ukiangalia idadi ya makanisa na Miskiti,Miskito ni tone LA maji katika bahari.
 
Nothing new. Sura nyingi ni zile zile. Lukuvi, Ummy, Jenister, Kabudi, Mkuchika, Mwigulu, Ndalichako,
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020

========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).

Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso

2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa

3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama

4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima

5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila

6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba

7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako

8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki

9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas

10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko

12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho

14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.

15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce

16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene

17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile

19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango

20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi

21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi

22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa

23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso - WALE
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa - WAO
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama - WAO
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima - WAO
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila - WAO
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba - WAO
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako - WAO
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki - atakua- WAO
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas- WAO
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo - WALE
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko - WAO
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani - WAO
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho - WAO
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda. - WAO
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce - WAO
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene- WAO
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu - - WALE
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile- WAO
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango - WAO
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi - WAO
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi - WAO
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa - WAO
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika - WAO
 
Usisumbuke na Jiwe, Kaiba uchaguzi kwa hiyo haina maana sana hata WAO wakiwa wachache. Serikali yake tangiapo haina baraka.
 
Back
Top Bottom