Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
watanzania tunahitaji maendeleo haijalishi nani, dini sio kigezo au sifa ya kuteua mtu, sisi watanzania tunataka mtu yeyote mchapa kazi, mweledi na mwadilifu ktk kuwatendea haki watanzania, kama alivyo Mhe. Rais mwenyewe ni mtenda haki bila ubaguzi, anawaletea maendeleo watanzania wote bila ubaguzi hiyo ndio dhamira ya kiongozi mkuu naamini pia ndio dhamira ya wateule wake.
 
Juma Aweso, Ummy Mwalimu, Suleman Jaffo hao ni wakristu pia? Katika wabunge wote angalia ratio ya wakristu na Waislamu utapata jibu.

Waislamu Kuna kitu huwa hamtaki kukubali kuwa swala la elimu dunia hamkulipa kipaumbele toka zamani, wenzenu wakristu walienda sambamba elimu ya dini na elimu ya dunia. Kwa Sasa Waislamu ndo mmekuwa na mwamko wa elimu ya dunia wakati wakristu tayari wamepiga hatua kubwa. Kwa hiyo itachukua muda mrefu kuziba hilo pengo na kuwa na uwiano sawa wa wasomi.

Kwa hiyo kwa Sasa usitegemee kuwe na uwiano sawa katika uongozi ilihali hakuna uwiano sawa wa wasomi Kati ya Waislamu na wakristu.
Wewe jamaa ni zaidi ya juha,ina maana serikali zote 4 zilizopita zilikua azikuona elimu kubwa ya wakristo mpaka hii ya awamu ya 5 ikawaona waislam 3 tu ndio elimu yao inastahili kuwa mawaziri!?
 
Inategemea na tashi wa mteuzi na mamlaka yake ya kikatiba, pia dini sio kigezo chakuwa waziri
Katika nchi ya kanda Zaidi ya tano, na dini zenye misuguano mbili, unapoteua viongozi lazima kujitahidi sana kuficha upendeleo wa waziwazi. Hata Kama wa kanda ya ziwa wangekuwa maprofesa woote na walisoma Havard, na kanda ya kusini waoote Ni vilaza, busara Ni kutafuta kilaza mwenye unafuu kuliko kuteua wa kanda ya ziwa wote. Hapo Jiwe amekoka moto, na laiti waislam wangekuwa wanajielewa, mbona ingekuwa kivumbi. Sasa hivi watachangiwa tusadaka twa kujenga Masjd, then kimyaa
 
January Makamba na kumsifia sanaaaaa huyo anayejiita mwendawazimu lakini kwenye baraza haramu la mawaziri NJE!
 
Baraza limejaa udini mtupu, waislam tumesahulika sana, hii hali sijui itaisha lini!
 
pongezi za kipekee wa 'majembe' yafuatayo;
1. prof. Ndalichako
2. Lukuvu
3. Jaffo
4. Dr. kalemani
5. Doto Biteko
6. Aweso
7. Mwigulu
8.. Dr. Mpango
9.. Prof. Kabudi
Bila kumsahau Captain Mkuchika, hakika hawa wahe. ni Majembe kwelikweli ni wachapa kazi haswaa nawaombea Mungu awatangulie
 
Mh, Katambi tafadhali anza na ajira za viwandani hasa viwanda vya wahindi na wachina bado kuna watanzania wanalipwa mishahara ya shg 4000 kwa siku hii sio sawa kabisa,, nakubali uwezo wako kiutendaji tafadhali tetea hawa wanyonge,,
 
Wewe jamaa ni zaidi ya juha,ina maana serikali zote 4 zilizopita zilikua azikuona elimu kubwa ya wakristo mpaka hii ya awamu ya 5 ikawaona waislam 3 tu ndio elimu yao inastahili kuwa mawaziri!?
Sheikh Ponda aliwaonya .. anyway haya malalamiko yaende Bakwata maana ndo walikuwa wa kwanza kumpiga vijembe
 
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
Yani makabila yote yasiyo na mawaziri umeona wapare na wachaga tu? Mna usipesho gani?

Wachaga msipozinduka kwamba mambo yamebadirika mtabaki kulalamika kama mnaonewa hivyo hivyo
 
Waliogopa wakadhani ukafiri, katambi Ana elimu kubwa kuliko kigwangala na Dr mtei?
Hii dhana kwamba Waislamu hawakwenda shuke imetumiwa tangu kupata Uhuru kuwaengua Waislamu. Kuna bwana mmoja alitoa orodha ya Waislamu 300 wenye PHD za fani mbali mbali, karibuni zote, hata Marine sciences (PHD). Hiyo ni Zaidi ya miaka 10 iliyopita! Mtu akitaka kutukana hachagui tusi wala hajali facts. Ukweli ni kwamba, kama angekuwa rais ni Mwislamu na akafanya uteuzi kama huu, Wakristo wote mngeruka na kupaaza sauti kuwa ni 'mdini'. Tumeyaona hayo wakati wa Mwinyi na wakati wa Kikwete ambaye aliponzwa kuteuwa 30% tu ya Waislamu katika baraza lake, lo! Kauli mbiyu ya "Mdini' ilizagaa kote Tanzania! Nani asiyejua sakata la kuzongwa kwa Dr. Dau?, Kighoma Malima, Iddi Simba etc. kwa tuhuma za 'udini'? Hao wala hawakuwa viongozi wa juu!!!
Ili mradi, kila anayezungumzia ubaguzi dhidi ya Waislamu ni 'mdini'. Wanaoishiria hapa kukosekana kwa Waislamu si wadini, ni watu wanaosema ukweli tu. Na muda wa kuwa hatuambiani ukweli nchi hii itaangamia. Rais Magufuli mwenyewe kila mara anasema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" Sasa asikie ukweli huu, kwamba hakufanya uadilifu katika Baraza hili na lile lililopia kwa kuwatenga 'makusudi' Waislamu. Lau wangefanyiwa Wakristo, wao pia wangesema hivyo, wazi wazi.
Why Christians in Tanzania are taking Muslims for granted? Having a proportionate representation of ethnic, religious and gender group in a cabinet make-up in Africa is not a luxury....it saves a very important purpose of ensuring equitable service delivery to all citizens. In Africa where people's loyalty is mainly to their tribes, religions, and other attachments rather than ' state' , a wide spread disenfranchisement of a particular category of people has severe consequences on that group's equal enjoyment of government services. If President Magufuli is not aware of this fact, I just wonder what type of a leader is he. No. I believe this flagrant bias is a conscious and deliberate act.
The more we could speak about this openly, the better will be the future of a united Tanzania. This CAN NOT GO ON- business as usual!
 
Yani makabila yote yasiyo na mawaziri umeona wapare na wachaga tu? Mna usipesho gani?

Wachaga msipozinduka kwamba mambo yamebadirika mtabaki kulalamika kama mnaonewa hivyo hivyo
Huyu mtu ni mbaguzi sana
Baraza la mawaziri wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hakuna mzanzibari hata mmoja
Basi liwe baraza la watanganyika,,,
Yaani waislamu 3 wakristo 20
Kweli muhutu haachi ubaguzi
 
Back
Top Bottom