Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Bashiru ndo kwanza hata mishahara miwili bado
Life is full of unexpected
 

Usahihi ni:

Hii ni hafla (sherehe) fupi ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa JMT...

Rais Samia Suluhu hamwapishi VP bali Jaji Mkuu ndiye anayefanya kazi hiyo kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 na marekebisho yake huku Rais akiwa mshuhudiaji tu wa kiapo hicho...

Badili maelezo yako. Kuna watoto wanajifunza kupitia jukwaa hili. Siyo vizuri kutoa maelezo potofu ya tukio zima...
 
Bashiru ndo kwanza hata mishahara miwili bado
Life is full of unexpected
Mshahara wa katibu mkuu na Mbuge upi mkubwa?
Inaweza kuwa kala shavu,jamaa katoka jalalani juzi tu
 
Mm sio nabii ila yule jamaa sina imani naye kabisa hasa akiwa around state and i dont know why.....
Sio wewe tu, kwa kifupi jamaa ana agenda ovu ndio maana kila mtu ana mashaka nar, tulitegemea awamu hii hatarudi ila amerudi Mungu atuondolee huyo jamaa na agenda zake mbovu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…