Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
unnamed.jpg
Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024

Licha ya Rais William Ruto kutangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha siku ya Juni 26, 2024 na kuagiza urejeshwe Bungeni kwaajili ya kufanyiwa maboresho maandamano yanaendelea nchini humo yakiongozwa na vijana wa taifa hilo.

Waandamanaji wanadhamiria kuanzisha maandamano kuelekea Ikulu kuonyesha kutoridhika kwao na uongozi wa Rais Ruto nchini humo. Inadaiwa wanataka Rais huyo ajiuzulu

================For English Audience Only==================

Roads to State House sealed off, heavy security deployed ahead youth protests in Nairobi​

A multi-agency security team from various police units has been deployed in various parts of Nairobi in anticipation of the youth-led protests set to take place on Thursday.

The demonstrators have vowed to stage a daring march to State House as the climax of a seven-day protest to express their anger and dissatisfaction with the current government of President William Ruto.

After the deadly rallies witnessed on Tuesday when the protestors invaded Parliament in protest of the Finance Bill 2024, security teams appear determined to thwart any attempt to access the House on the Hill.

Elite security teams have sealed off all roads leading to and connecting to State House, with motorists being diverted to use alternative routes.

Heavily armed officers have also been strategically placed near State House with no one allowed to even approach any of the entrances.

Military security equipment has also been deployed near State House to barricade the roads near State House.

Despite President William Ruto conceding and accepting to withdraw the contentious Bill, the protesters have vowed to continue with the rallies in a show of no-confidence with the Kenya Kwanza government.

The plan by the protesters to march to State House has been met with mixed opinion with fears of loss of lives being voiced to dissuade the youth from such an act billed as treasonous.

SOURCE: THE CITIZEN
 
View attachment 3027419Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024

Licha ya Rais William Ruto kutangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha siku ya Juni 26, 2024 na kuagiza urejeshwe Bungeni kwaajili ya kufanyiwa maboresho maandamano yanaendelea nchini humo yakiongozwa na vijana wa taifa hilo.

Waandamanaji wanadhamiria kuanzisha maandamano kuelekea Ikulu kuonyesha kutoridhika kwao na uongozi wa Rais Ruto nchini humo. Inadaiwa wanataka Rais huyo ajiuzulu

================For English Audience Only==================

Roads to State House sealed off, heavy security deployed ahead youth protests in Nairobi​

A multi-agency security team from various police units has been deployed in various parts of Nairobi in anticipation of the youth-led protests set to take place on Thursday.

The demonstrators have vowed to stage a daring march to State House as the climax of a seven-day protest to express their anger and dissatisfaction with the current government of President William Ruto.

After the deadly rallies witnessed on Tuesday when the protestors invaded Parliament in protest of the Finance Bill 2024, security teams appear determined to thwart any attempt to access the House on the Hill.

Elite security teams have sealed off all roads leading to and connecting to State House, with motorists being diverted to use alternative routes.

Heavily armed officers have also been strategically placed near State House with no one allowed to even approach any of the entrances.

Military security equipment has also been deployed near State House to barricade the roads near State House.

Despite President William Ruto conceding and accepting to withdraw the contentious Bill, the protesters have vowed to continue with the rallies in a show of no-confidence with the Kenya Kwanza government.

The plan by the protesters to march to State House has been met with mixed opinion with fears of loss of lives being voiced to dissuade the youth from such an act billed as treasonous.

SOURCE: THE CITIZEN

View: https://www.instagram.com/reel/C8tleA3KvMu/?igsh=MXdlYXF4bG03ejJ6
 
Wakiendelea zaidi ya hapo, ikitokea wakaanza kulimwa shaba nitashangilia sana. Maana watakuwa ni wapumbavu sasa.
Walichoandamania kimesikilizwa, sasa wanaanza kuhamisha magoli na kuibua madai mapya. Kwani wanadhani Ruto na serikali yake hawana watu wanaowaunga mkono?
 
Unawageuka? Si wanatumia Haki Yao au? 😂😂😂😂
 
Jambo Lao limeshafanikiwa,watulie sasa,wakiendeleza ujinga soon tutashuhudia umwagikaji mkubwa WA damu!
Bado hawajafanikiwa kwasababu muswada wanaoukataa raisi wao pia kakataa kuupitisha.
Kwa mujibu wa katiba yao inatakiwa muswada urudishwe bungeni kwa ajili ya amendment, usiporudishwa bungeni ndani ya siku 14 automatically unakua sheria. Cha ajabu bunge limeenda likizo kwa mujibu wa ratiba.
 
Ni muda sasa wa Viongozi wa Kenya kuja kujifunza Tanzania nini Mwl Nyerere aliwafanyia Watanzania hadi leo hii wasitamani maandamano pamoja na gharama za maisha kuwa juu 😜

Huku sisi ni mwendo wa kulalamika kwenye keyboard pamoja na kubishana kuhusu Simba na Yanga tu 🙌
 
Unawageuka? Si wanatumia Haki Yao au? 😂😂😂😂
Wametumia haki yao, wamesikilizwa na siyo kusikilizwa tu, bali Ruto amekubali kile walichokitaka.
Habari za kutoridhishwa na uongozi wake zinatoka wapi? Namna ya kumpinga kiongozi kwa kutoridhishwa na uongozi wake ni kuvumilia hadi uchaguzi ujao.
wanachokitanya hivi sasa ndiyo itajulikana kwamba hata hiyo movement ya Gen Z ilikuwa coordinated na akina nani, maana inaonekana hawakufurahishwa na kitendo cha Ruto kukubali kuachanabna ku sign hiyo Bill.
Uzuri waandamanaje tayari wameshatofautiana na sasa mtashuhudia kuwa nyuma yake Wajaluo ndiyo walio coordinate hii kitu
 
Mbona wanaenda Ikulu kudai Haki iliyosalia? Hii Hapa 😂😂👇👇
sportsarena_tz_1719326502626254.jpg
 
Mbona wanaenda Ikulu kudai Haki iliyosalia? Hii Hapa 😂😂👇👇View attachment 3027437
Sasa si unaona upumbavu huu? Hapo tayari unaona kuna siasa, Gen Z imejipatia umasrufu ndani ya wiki na kuporomoka ndani ya Wiki hiyohiyo.
Imeshadhihirika sasa kumbe siyo Gen Z bali kuna big fishes walichora mchoro wenye sura na umbo la Gen Z, kwa kifupi wametumia mbinu za Hamas
 
Kwani mgomo wa wafanyabiashara huko Tzn hakuna siasa? Na huko ni siasa vile vile.

Endeleeni kudia Haki Mzee 🤪🤪
 
Back
Top Bottom