Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

Ni muda sasa wa Viongozi wa Kenya kuja kujifunza Tanzania nini Mwl Nyerere aliwafanyia Watanzania hadi leo hii wasitamani maandamano pamoja na gharama za maisha kuwa juu 😜

Huku sisi ni mwendo wa kulalamika kwenye keyboard pamoja na kubishana kuhusu Simba na Yanga tu 🙌
Alituroga mzanaki yule katuinamisha vizazi hadi vizazi
 
Kwani mgomo wa wafanyabiashara huko Tzn hakuna siasa? Na huko ni siasa vile vile.

Endeleeni kudia Haki Mzee 🤪🤪
Mgomo wa wafanyabiashara huko Tz kuna vitu navipinga, mojawapo ni namna serikali inavyolishughulikia, ikiwemo kuwatumia watu kama akina Chalamila ambao wanakwenda kuropoka mambo ambayo yanaiweka hadi demokrasia ya nchi kwenye (Mabano) na hatujamsikia hata waziri wa Ulinzi au wa Mambo ya nje wakisafisha hali ya hewa kwa kauli zake zile.
Upande wa Wafanyabiashara sioni wanachokitaka sababu Mkumbo alishaenda kuwasikiliza na akatoa marlekezo kwa T.R.A na akatolea progress ya mambo kadhaa, sasa huu muendelezo wa kuendelea kugoma sielewi wanataka nini na kutoka wapi… hawana tofauti na Kenyan Gen Z
 
Mgomo wa wafanyabiashara huko Tz kuna vitu navipinga, mojawapo ni namna serikali inavyolishughulikia, ikiwemo kuwatumia watu kama akina Chalamila ambao wanakwenda kuropika mambo ambayo yanaiweka hadi demokrasia ya nchi kwenye (Mabano) na hatujamsikia hata waziri wa Ulinzi au wa Mambo ya nje wakisafisha hali ya hewa kwa kauli zake zile.
Upande wa Wafanyabiashara sioni wanachokitaka sababu Mkumbo alishaenda kuwasikiliza na akatoa marlekezo kwa T.R.A na akatolea progress ya mambo kadhaa, sasa huu muendelezo wa kuendelea kugoma sielewi wanataka nini na kutoka wapi… hawana tofauti na Kenyan Gen Z
Kwa hiyo unampinga Hadi G-Z? 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8tlEB0M7TW/?igsh=MWpuM2tvOTh0YzA2Ng==
 
Alituroga mzanaki yule katuinamisha vizazi hadi vizazi
Hahaha........yaani hapo kati tulilalamika kuhusu gharama za petrol/dizeli kuwa juu hadi tukazoea

Ikaja kwenye tozo na miamala ya Simu hadi tukazoea

Hiyo dawa itakuwa inafanana na ile Wanaume tunawekewa ndani ya nyumba zetu ili tuwe makondoo Kwa Wake zetu 😜🙌

Kutokea hapo hata Mke arudi nyumbani saa 8 za Usiku unaenda kumfungulia geti na hunyanyui mdomo kumuuliza mahali atokapo 🤗
 
1719483860222.png
 
Hahaha........yaani hapo kati tulilalamika kuhusu gharama za petrol/dizeli kuwa juu hadi tukazoea

Ikaja kwenye tozo na miamala ya Simu hadi tukazoea

Hiyo dawa itakuwa inafanana na ile Wanaume tunawekewa ndani ya nyumba zetu ili tuwe makondoo Kwa Wake zetu 😜🙌

Kutokea hapo hata Mke arudi nyumbani saa 8 za Usiku unaenda kumfungulia geti na hunyanyui mdomo kumuuliza mahali atokapo 🤗
Kondoo wa kwenye biblia ndo sisi
 
View attachment 3027419Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024

Licha ya Rais William Ruto kutangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha siku ya Juni 26, 2024 na kuagiza urejeshwe Bungeni kwaajili ya kufanyiwa maboresho maandamano yanaendelea nchini humo yakiongozwa na vijana wa taifa hilo.

Waandamanaji wanadhamiria kuanzisha maandamano kuelekea Ikulu kuonyesha kutoridhika kwao na uongozi wa Rais Ruto nchini humo. Inadaiwa wanataka Rais huyo ajiuzulu

================For English Audience Only==================

Roads to State House sealed off, heavy security deployed ahead youth protests in Nairobi​

A multi-agency security team from various police units has been deployed in various parts of Nairobi in anticipation of the youth-led protests set to take place on Thursday.

The demonstrators have vowed to stage a daring march to State House as the climax of a seven-day protest to express their anger and dissatisfaction with the current government of President William Ruto.

After the deadly rallies witnessed on Tuesday when the protestors invaded Parliament in protest of the Finance Bill 2024, security teams appear determined to thwart any attempt to access the House on the Hill.

Elite security teams have sealed off all roads leading to and connecting to State House, with motorists being diverted to use alternative routes.

Heavily armed officers have also been strategically placed near State House with no one allowed to even approach any of the entrances.

Military security equipment has also been deployed near State House to barricade the roads near State House.

Despite President William Ruto conceding and accepting to withdraw the contentious Bill, the protesters have vowed to continue with the rallies in a show of no-confidence with the Kenya Kwanza government.
The plan by the protesters to march to State House has been met with mixed opinion with fears of loss of lives being voiced to dissuade the youth from such an act billed as treasonous.

SOURCE: THE CITIZEN
Madaraka matamu aise...
Ruto anajinyea nyea ndani!
Bado kwetu!
 
Generation Zombies wapo ikulu Muda huu vichwa vishajaa Bange na mirungi waliyoipika Jana hapo huwaambii kitu hata uwapige risasi Generation Zombies ni hatari sana
Bora sisi huwa ikitokea fujo wanawapelekea wale wa ukonga wapashe kwanza kidogo ndiyo waingie mzigoni, sasa kenya wameruhusu kwa raia
 
Back
Top Bottom