Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
KumbeBado hawajafanikiwa kwasababu muswada wanaoukataa raisi wao pia kakataa kuupitisha.
Kwa mujibu wa katiba yao inatakiwa muswada urudishwe bungeni kwa ajili ya amendment, usiporudishwa bungeni ndani ya siku 14 automatically unakua sheria. Cha ajabu bunge limeenda likizo kwa mujibu wa ratiba.
Duh