Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

Alituroga mzanaki yule katuinamisha vizazi hadi vizazi
 
Kwani mgomo wa wafanyabiashara huko Tzn hakuna siasa? Na huko ni siasa vile vile.

Endeleeni kudia Haki Mzee πŸ€ͺπŸ€ͺ
Mgomo wa wafanyabiashara huko Tz kuna vitu navipinga, mojawapo ni namna serikali inavyolishughulikia, ikiwemo kuwatumia watu kama akina Chalamila ambao wanakwenda kuropoka mambo ambayo yanaiweka hadi demokrasia ya nchi kwenye (Mabano) na hatujamsikia hata waziri wa Ulinzi au wa Mambo ya nje wakisafisha hali ya hewa kwa kauli zake zile.
Upande wa Wafanyabiashara sioni wanachokitaka sababu Mkumbo alishaenda kuwasikiliza na akatoa marlekezo kwa T.R.A na akatolea progress ya mambo kadhaa, sasa huu muendelezo wa kuendelea kugoma sielewi wanataka nini na kutoka wapi… hawana tofauti na Kenyan Gen Z
 
Kwa hiyo unampinga Hadi G-Z? πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C8tlEB0M7TW/?igsh=MWpuM2tvOTh0YzA2Ng==
 
Alituroga mzanaki yule katuinamisha vizazi hadi vizazi
Hahaha........yaani hapo kati tulilalamika kuhusu gharama za petrol/dizeli kuwa juu hadi tukazoea

Ikaja kwenye tozo na miamala ya Simu hadi tukazoea

Hiyo dawa itakuwa inafanana na ile Wanaume tunawekewa ndani ya nyumba zetu ili tuwe makondoo Kwa Wake zetu πŸ˜œπŸ™Œ

Kutokea hapo hata Mke arudi nyumbani saa 8 za Usiku unaenda kumfungulia geti na hunyanyui mdomo kumuuliza mahali atokapo πŸ€—
 
Kondoo wa kwenye biblia ndo sisi
 
Madaraka matamu aise...
Ruto anajinyea nyea ndani!
Bado kwetu!
 
Generation Zombies wapo ikulu Muda huu vichwa vishajaa Bange na mirungi waliyoipika Jana hapo huwaambii kitu hata uwapige risasi Generation Zombies ni hatari sana
Bora sisi huwa ikitokea fujo wanawapelekea wale wa ukonga wapashe kwanza kidogo ndiyo waingie mzigoni, sasa kenya wameruhusu kwa raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…