KumbeBado hawajafanikiwa kwasababu muswada wanaoukataa raisi wao pia kakataa kuupitisha.
Kwa mujibu wa katiba yao inatakiwa muswada urudishwe bungeni kwa ajili ya amendment, usiporudishwa bungeni ndani ya siku 14 automatically unakua sheria. Cha ajabu bunge limeenda likizo kwa mujibu wa ratiba.
Kenya vijana wanawashauri polisi na wanaachiliwa, huku wangegongwa vibaya mno.Kwani Kenya hawapigiki?
Nahisi huku tumelishwa dawa ya kupumbazwa ππ
Maaskari wetu wangeenda Kenya, nahisi Wakenya wasingeweza kuendelea na mgomo maana wangepigwa wachakae πKenya vijana wanawashauri polisi na wanaachiliwa, huku wangegongwa vibaya mno.
Sio kweli, Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Kenya iko Salama.Waandamanaji saa hii tayari wako Ikulu
Hawa wetu wana hasira mda wote wanachojua ni kuwa ukikaidi maagizo lazima utapigwa tu.Maaskari wetu wangeenda Kenya, nahisi Wakenya wasingeweza kuendelea na mgomo maana wangepigwa wachakae π
Hahaha.............. nahisi pia maisha yao magumu yanachangia wao kuwa hivyoHawa wetu wana hasira mda wote wanachojua ni kuwa ukikaidi maagizo lazima utapigwa tu.
Nikajua labda wana maisha mazuri πHahaha.............. nahisi pia maisha yao magumu yanachangia wao kuwa hivyo
Hamna kitu pale, maisha yao ya kawaida kama sisi tu WakulimaNikajua labda wana maisha mazuri π