Ikulu, Dar: Mrejesho Ziara ya Rais Samia Nchini China na Misri

Pascal with due respect hivi kweli Zuhura ataongea nini?....nchi ina hali mbaya sana...ni kweli mengine hayajasababishwa na Serikali lakini ukweli ni kwamba hawa tunaowaita viongozi HAWANA UWEZO wa kutatua hizi changamoto PERIOD.
Mkuu DURACEF , why be judgemental with biased negativity?!, kwanini msisikilize with objective mind, halafu akimaliza mtupe analysis yenu ya alichoongea?.
P
 
Rubbish, atueleze kwanza akina nani waliidhinishiwa bilioni 350 haraka haraka bila kodi mda mfupi baada ya kifo cha Magufuli. Hayo anayoyaeleza ni utumbo tu
 
Kuna watu hutegemei lolote la maana toka kwao.... Kwa tanzania kila mmoja ni chawa atasema uongo kumpendezesha mama. mara oh Mheshimiwa Mungu, mara oh Magufuli yuko ofisini anachapa kazi.... while he is in the fridge being preserved to avoid bacteria petrification trend kwa aina ya watu kama hao , toka chungu hicho hicho a sensible person can not listen to them! unategemea nini?
 
Zuhura bado msimbe ikulu atakua anapona kweli pale tulivokua hatuna nidhamu
 
Pascal with due respect hivi kweli Zuhura ataongea nini?....nchi ina hali mbaya sana...ni kweli mengine hayajasababishwa na Serikali lakini ukweli ni kwamba hawa tunaowaita viongozi HAWANA UWEZO wa kutatua hizi changamoto PERIOD.

Mlaumu Nyerere aliyejenga mfumo mbovu. Hakuna serikali itakayomaliza changamoto tulizonazo.
 
Waandishi wa Habari Tanzania ni wapumbavu.
Hawana maswali ya muhimu.
Mkuu HIMARS , huku sio kututendea haki!. Kutuhumu waandishi wote hawana maswali muhimu kwa a blanket statement na kukutukana waandishi wote wa Tanzania ni wapumbavu, sio kututendea haki!. Japo ni kweli waandishi wetu wengi hawaulizi maswali ya maana ila sio wote!. Kutuita wote ni wapumbavu ni kutuhukumu kwa mtindo wa tenga la samaki, mmoja akioza, wote wameoza, kitu ambacho sio haki na sio kweli!.
P
 
Anatimiza Majukumu yake kama wengine tu. Tatizo ni Maono ya Wananchi.
 
Mkuu DURACEF , why be judgemental with biased negativity?!, kwanini msisikilize with objective mind, halafu akimaliza mtupe analysis yenu ya alichoongea?.
P
Narudia naomba usinielewe vibaya unajua Pascal Mungu amemuumba binadamu na akampa akili ili aweze kutawala mazingira yake.
Be honest wewe unaona kuna kitu Yunus ataongea kitaleta ahueni kwa wananchi?...anyway ngoja tunyamaze.
 
Rubbish, atueleze kwanza akina nani waliidhinishiwa bilioni 350 haraka haraka bila kodi mda mfupi baada ya kifo cha Magufuli. Hayo anayoyaeleza ni utumbo tu
Mkuu Gulwa , why all this negativity, mtu hujasikiliza why unaita rubbish?!.
P
 
Mkuu DURACEF , why be judgemental with biased negativity?!, kwanini msisikilize with objective mind, halafu akimaliza mtupe analysis yenu ya alichoongea?.
P

Hajataja mikataba 15 ni ya jambo gani. Ameishia kutaja namba ambayo kila mtu anajua. Je wameona watanzania ni watu wa kujua namba tu na sio aina ya mikataba?
 
Hivi hayo mabondo ya sangara yanatumika kutengeneza nini
 
Huyu Dada hafai msaliti Kwa nchi hii hasa awamu zilizopita akiwa BBC Swahili, siku hizi anakula vinono ikulu

Kuna kijana mmoja tu wa BBC ambaye namkumbuka kile kipindi cha covid. Alikuwa mzalendo sana kwa nchi yake.
 
Pascal with due respect hivi kweli Zuhura ataongea nini?....nchi ina hali mbaya sana...ni kweli mengine hayajasababishwa na Serikali lakini ukweli ni kwamba hawa tunaowaita viongozi HAWANA UWEZO wa kutatua hizi changamoto PERIOD.
Nani mwenye uwezo wa kushughulikia utatuzi wa changamoto za taifa letu kama sio hao viongozi wa taifa!?
Kwa nini unasema ataongea nini kwani zuhura mtoto mpaka ashindwe kuongea!?
Ama anatatizo gani ambalo viongozi wa serikali yetu hawajui wewe unaijua utuambie ili viongozi wetu wafanye jambo..

Watanzania ifike mahali tupende kuwa amini viongozi wetu kuanzia ngazi ya kitongoji mpaka taifa
[emoji120][emoji120]
 
Zuhura, hii mikopo ya vikundi vya ufugaji wa samaki IMEPOTELEA WAPI? Tulisema hapa huu ni mradi kama ule wa mtoto wa Mseven kule Uganda.
Kuna tetesi kwamba WAKUBWA wameunda vikundi vyao HEWA huko na kuzigawana hizo pesa mlizoziita kwa mbwe mbwe kama MABILIONI YA SAMIA.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi apigwe kalamu na Mama haraka sana

Nakuomba utulie tuli...hili swali ni la Pascal.
Imani kwa hao unaowaita viongozi haiji kwa wewe kuniambia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…